Hata wakiwa na ideas......support ipo????? mnaweza kuwashika mkono wakianzisha kampuni zao wakiwa fresh from school??? au ndo porojo tu....tunahitaj policies zinazoweza kumsupport graduate kufanya kitu chake.....sio kila siku mnawalumu vijana wadogo ambao hamuwapi support yoyote
2026-11-02 21:14:43
2
Boni tz :
Akili ni
2026-11-02 20:18:10
0
Hamis Mgendi :
kweli kabisa atakae kubishia aje na maelezo
2026-11-02 20:53:06
1
bazgar Tech Solution :
ukifanikiwa lisha family Yako sio kuwatukana wenzako
sio kwamba ambao atujafanikiwa atupamban ni vile muda wako umefika wetu Bado ila tambua kuwa ulipo tunaweza fika na kupitia na wewe unaweza shuka maisha ni kama daladala unaweza panda mwanzo wa safari adi mwisho na usipate siti ila Kuna anaepanda njiani akapata siti na Bado akashuka njiani
2026-11-02 23:35:17
1
Cleophace1stborn :
Hili halipingiki
2026-11-02 21:29:38
1
Makene Muyengi :
Nikweli
2026-11-03 05:28:55
0
Xymera :
ni hatuna akili au tumeshindwa kutumia akili
2026-11-02 22:17:08
0
Thomas sanget :
kwel
2026-11-02 19:47:44
1
Dokta Rubuye114 :
Nandio wanaohalibu serikali na mashirika mbalimbali.
2026-11-03 05:15:32
0
Altony tibiita's :
elimu sio akili Bro, akili sio elimu pia máster!
2026-11-03 05:11:15
0
@wanderfull @# :
kwel kaka Akya nani nakubali😂😂😂😂😂
2026-11-03 05:08:05
0
mukide :
hapo sawa
2026-11-03 04:55:49
0
Samuel Nyondo :
nikweli
2026-11-03 05:00:46
0
user9023106146914 :
MUNGU ANAKUONA WEE ACHA KUTUKANA WATU WA MUNGU
2026-11-03 05:04:18
0
imani_tz :
Mi nachowakubali wengi wanaotoa huu ushauri wanakuwa wameajiriwa
2026-11-03 04:35:23
0
Issah 'II' :
wenye akili wanafeli huko shule kabisa, coz mwenye akili hawezi kukaa darasani kusoma vision za watu, hivo wanafeli shule ili wasimamie vision zao! waliosoma means walikubali kuingiza vision za watu wengine vichwani mwao, hivo walizipa nafasi vision za watu hivo zakwao zikafa! so ustegemee mtu wa GPA 5 akupe vision! zaidi atakuimbia hizo alizokalilishwa shule, zakwake zilishakufaga tangu anaanza lakwanza.
2026-11-03 05:29:02
0
givenjoho :
100% HUO NDIYO UKWELI HATUNA AKILI
2026-11-03 05:17:08
0
Caramprint :
Ndio ujakosea@[Tears of joy]
2026-11-03 05:33:13
0
naomy@❤️ :
Mtajua wenyewe bhn
2026-11-03 04:35:50
0
king konk. :
naamini kauli hii
2026-11-03 04:47:06
0
To see more videos from user @calamedia94, please go to the Tikwm
homepage.