@robin_global: #trending #trendingvideo #viral

ROBIN GLOBAL
ROBIN GLOBAL
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 02 November 2026 13:05:01 GMT
4616
154
27
19

Music

Download

Comments

amour.hassan3
Amour Hassan :
Robin hapa umekosea. sio sahihi kusema "hata waislam walimpinga sana mtume Mohammad siku za mwanzo" futa hiyo kauli.
2026-11-02 16:23:08
2
lomydisinery
LOMY Disiner :
Kuna watu wanashindwa kutofautisha UARABU na UISLAMU mm huwaga nawaambiaga watu sio kila anayevaa kanzu au kila mwarabu ni MUISLAMU
2026-11-02 16:32:54
1
always.othman
Othman :
Siyo Saud Arabia bali nchi zote za Ghuba sasa hazipo sawa na inasikitisha baadhi ya mashekhe kuwatetea hawa hata kinachoendelea mashariki ya kati hii vita ya Iran na hizo nchi za Ghuba hao mashekhe wanakuwa upande wa nchi za Ghuba.
2026-11-02 14:41:47
3
mahmoudjr112
Mahmoudjr112 :
ila Kuna watu huwaambii kitu kuhusu soudia ,ni kama wale ambao huwaambii kitu kuhusu mazayuni
2026-11-02 17:08:30
0
drmakhak0
makha 0776567816 :
nakukubali mtoto Uko vizuri sana tuambie
2026-11-02 13:47:57
3
user5781021580058
yyusso :
Dada samahan wee nidin gan?
2026-11-02 13:34:50
0
zamda.omary29
Zamzam :
Duuh hatari
2026-11-02 17:21:13
0
lomydisinery
LOMY Disiner :
Nikisemaga Saudia sio DOLA ya KIISLMU kuna watu wanabisha
2026-11-02 16:31:35
1
kweji38
kweji :
huyo mfalme wa saudia sio mtu nishetwani
2026-11-02 14:38:56
3
hamis.hamis862
Hamis Hamis :
Saudia kwishaaaa🤚🤚🤚🤚🤚
2026-11-02 16:15:04
1
user23653243820920
dr.g david :
exactly ⚡️🇵🇸 ⚡️enderea kutujuza
2026-11-02 14:33:36
0
afsheenrahim297
afsheenrahim297 :
madhara ya kiongozi kijana ni hivi damu inachemka UISLAM beybey saudia jamaa mdogo mdogo anapangua Sheria za kiislam anaweka Sheria za Trump ahsante mtoa post ila history zko haziko sawa za uongo
2026-11-02 16:35:13
0
To see more videos from user @robin_global, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About