😂😂😂me huwaga nina ugonjwa wamevaa nguo kujiskia vby af sijui ni nini
2026-11-03 13:37:53
2
only me 💫✨ :
aloo!! mda mwingne sisemag kama naaumwa maan mim mwenyew najishtukiga
2026-11-03 16:31:05
1
deerobert :
Kwahyo mnawaonea wivu wanavyoumwa
2026-11-03 09:52:21
1
halimaomary545 :
Ila kweli Nyie Mimi Naumwa Duuh 🙌🏾
2026-11-03 15:53:59
0
lovie signature :
Ila wanaume wanatuombea mabaya sana😂
2026-11-03 14:26:40
0
mamy :
mm sijaelewa mnataka kutusaidia majukumu au
2026-11-03 14:32:03
0
Ms-gemini 🦋❤️ :
2026-11-03 16:05:54
0
user9866772772374 :
kumbe kuna kufa kwa wakat😅😅😅
2026-11-03 13:52:50
0
sniper..23 :
wengine hawaumwagi kweli..wakishaona mgumu kutoa hela wanakuingiza kwnye mfumo.😂😂
2026-11-03 11:53:13
2
Happy Mlay :
ukimpa ela tu anapona😂
2026-11-03 12:58:57
0
salma said :
vaa viatu vyetu uone kam hutougua kabsa
2026-11-03 17:23:14
0
Mr's kaka dereva🚚 :
m naumwa zaid ikifika usk yan stak kabisa kuguswa naumwa jmn mm loooh tena nikiwa sina hela y mchezo ndo nazid kuwa hoi😂😂😂😂😂@floramaskat @Miss b🙈💜 @mrs ibrahimu🥰 @da bonge❤️
2026-11-03 16:15:06
0
Molly-gen❤️ :
😂😂😂
2026-11-03 14:04:57
0
Memory William :
@hopefully 🥀🌹
2026-11-03 05:19:39
1
SIMUJANJA :
😂😂
2026-11-02 21:24:26
0
MDOGO WAKE( BM ) :
😁😁😁😁😁😁
2026-11-02 15:08:07
0
tum🥰🥰 :
😂😂😂😂🙌🙌
2026-11-03 08:57:30
0
To see more videos from user @rayjr1118, please go to the Tikwm
homepage.