@cawabemedia_: Serikali imezuia mizigo iliyokuwa imebebwa na lori lililosababisha ajali iliyoua wanafunzi watatu wa Shule ya Sekondari Mringa, wilayani Arumeru mkoani Arusha, hadi dereva wa lori hilo atakapopatikana. Akizungumza kuhusu hatua hiyo, Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Neema Lugangira, amesema mizigo hiyo itabaki chini ya uangalizi wa Serikali wakati jitihada za kumtafuta dereva huyo zikiendelea. Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha, ajali hiyo ilisababishwa na uzembe wa dereva wa lori aliyekuwa akipita magari mengine bila kuchukua tahadhari. Hali hiyo ilisababisha lori kuacha njia na kugonga gari dogo lililokuwa limeegeshwa pembeni mwa barabara kabla ya kuwagonga watembea kwa miguu watatu. Wanafunzi hao, ambao wote walikuwa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Mringa, wanaagwa leo, Novemba 2, 2026. Wanafunzi waliofariki ni Catherine Mussa, ambaye anatarajiwa kuzikwa Mwanga mkoani Kilimanjaro; Bianca Mgongo, atakayezikwa Musoma mkoani Mara; na Jesca Sabore Ng’otyek, atakayezikwa Monduli mkoani Arusha. Shughuli zote za mazishi ya wanafunzi hao zinagharamiwa na Serikali kwa kushirikiana na wadau.

cawabemedia
cawabemedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 02 November 2026 14:22:49 GMT
120794
4600
235
86

Music

Download

Comments

pendomsechu13
Pendo collection :
kuzuia mzigo ni makosa,,mzigo unatakiwa uondoke,,,gari inabaki kituon kuendelea na taratibu zengine
2026-11-02 14:55:35
46
christinakilango
Tayna Kilango Mjema🦋 :
ona ,kifo kilivyo na sababu catherine amekufa , baba kapata msaada wa matibabu ingekua siokuondoka kwa catherine asingetibiwa, wapumzike kwa Amani watoto wetu.
2026-11-02 17:22:03
36
user5322058213380
kisia kyavo :
Jamani mkuu mimi nalia kwa machungu.[Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying]
2026-11-03 03:59:56
0
user7269639293169
Mummy :
Very sad
2026-11-02 19:14:36
0
chamihery
CHAMI :
ajali hazijaanza leo.......mimi ni dereva nimebeba mitihani ya wanafunzi gari imepata ajali je utazuia mitihani mpk dereva apatikane ????
2026-11-03 03:28:48
6
sophia.ally419
Sophia Ally :
Asanteee
2026-11-02 19:13:32
0
ridhiwani.mamngan
Ridhiwani Mamngano :
haya maelezo ya huyu mama hayana mashiko kabisa huwezi kuzuia mzigo wa mtu mwingine na hakuna deleva ambae hana uwezo wa kuendesha gar kwani kazi ya trafk ni nn.gar ina taarifa zote za kiserikali kamata gar mhusika atakuja na atatoa taarifa zake zote
2026-11-02 16:25:41
8
uncledaville1
Daville :
Dah nimekodisha gari mm mzigo wangu hauusiani na hili
2026-11-03 07:22:21
2
user981484806553
💦 pretty naah 💫💫 :
duh msiba usikie Kwa mwingine😥😭😭😭😭😭😭 poleni sana
2026-11-02 14:30:28
13
wizzydeboy
Willy Mahenge ⛎ :
unatatua matatizo kwa hisia sio sheria
2026-11-03 05:52:24
2
edwardpatrick765
🚨𝓔𝓭𝔀𝓪𝓻𝓭𝓢𝓽𝔂𝓵🇧🇻🇳🇱 :
mnaeka siasa kwenye misiba eti na wao wanapiga makofi.mnafurahia mzigo wa watu kuzuiwa akati mwenye kosa ni wa Rumion(pale hakuna parking) sasa kosa la mzigo ni nn akati yeye ame kodi tu gari limpelekee mzigo wake
2026-11-02 15:33:04
2
maahmtui
maah :
💔💔💔😭😭😭Eeee Mungu mponye baba Cathy ni ngumu ni ngumu jamn dah [Crying]
2026-11-02 16:46:33
4
user6851880099945
user6851880099945 :
sasa wanao piga makofi wana jielewa Kweli kwni huo mzigo niwa dereva msiwe mna chukuwa maamuzi kimihemko dili na mwenye Gari nadereva mzigo niwamtu amabaye ana jitfia riziki zake wala haelewi chochote Ndugu
2026-11-03 06:05:07
1
onesimo.deus
Onesimo deus :
ajali zingine huwa ni mipango ya mwenyezi mungu mwenyewe ndiyo hupanga kila kifo na hatima ya kila binadamu kwahiyo hiyo nikama njia tu na sababu..
2026-11-03 06:38:43
1
fettynathan
Chef fetty :
Kiukwel ile sehem ni uzembe wa dereva sehem sio ya ku overtake gari lina mzigo angewezaje kupita haraka aisee imeniuma sanaa jaman 🥺 madereva wawe na huruma jaman wafikirie watembea na miguu jaman
2026-11-02 15:39:34
3
january0256
/@#Faisal mzamidu @/ :
sasa mzigo ndo una makosa au dereva ndo mwenye makosa we achia mzigo uende
2026-11-02 15:02:21
5
karimu.mandi88
MANDY TRUCK :
gari ya Mt mwingine mzigo wa Mt mwingine kwahy haviusian na kuzuia
2026-11-03 06:46:11
1
user9149267129590
erick shayo :
muheshimiwa pamoja na yote yalio tokea acha mihemko sizan kama mzigo una kosa lolote mfano dere aka patikan mahakam ika sema hana hatia au aka lipa fain na mzigo ukawa umepotea au ume haribika ni wee uta beba jukum
2026-11-02 18:25:40
4
rehema4495
REHEMA :
mme wangu aligogwa na basi alifia hapo hapo lakini polisi walibadilisha lipoti 😭😭
2026-11-02 15:01:49
6
banaa086
private power 👆 :
jmn mzigo una shida gan
2026-11-02 18:32:31
3
baba.manka7
Baraka :
Gari na dereva wabaki mxigo hsuna kosa na kama ni wa kuaribika itskuwa kesi nyingine
2026-11-02 17:29:22
3
jadesa43
jadesa :
kwa nn wasichkuliwe hatua kali na faini kubwa ili wafuate sheria barabaran
2026-11-02 15:05:52
3
mswiden27
Mswiden@27 :
zuiua mambo matatu 1,gali,2 deleva 3,bosi wagali mzigo niwamteja ntakuja kulipa vitu vyawatu
2026-11-02 20:02:08
1
ngasomi5
ngasomi :
mzigo una kosa gani some time tuwe tunaangalia
2026-11-02 19:24:38
1
dazzler.mnyamuru
panther :
kwani mahakama zipo zinafatilia kesi za ajari kama dereva hakukidhi viwango vya kuendesha gar sheria ipo fain na kuwekwa ndani
2026-11-02 18:25:18
1
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About