@millardayo_: Miili ya Wanafunzi watatu wa Shule ya Sekondari Mringa waliofariki dunia baada ya kugongwa na gari katika eneo la Kiushini, Barabara ya Bypass, Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha, imeagwa leo Novemba 2, 2026, katika Viwanja vya Shule hiyo. Zoezi la kuaga miili ya Wanafunzi hao limeongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Neema Lugangira kabla ya miili hiyo kupelekwa katika maeneo mbalimbali kwa ajili ya mazishi. Wanafunzi walioagwa ni Bianka Juma, Catherine Pius na Jesca Sabore, ambao wote walikuwa wakisoma Kidato cha Tatu katika Shule ya Sekondari Mringa. #MillardAyoUPDATES
millardayo
Region: TZ
Monday 02 November 2026 14:39:21 GMT
Music
Download
Comments
Elsie💞🌸 :
ee Mungu atunusuru jmn watu wanakufa ovyo bila kutimiza ndoto zao
2026-11-02 14:44:59
6
Ma cleopatra 1220 :
Mungu awepe pumziko la milele
2026-11-02 14:43:12
4
jude_iris :
RAHA YA MILELE UWAPE Eeh BWANA NA MWANGA WA MILELE UWAANGAZIE
WAPUMZIKE KWA AMANI...! AMINA🕊️🤍🕯️🙏🙏
2026-11-02 18:48:46
2
Nelechi🦋🦋 :
🥺🥺🥺Inna lilah waina lileh rajiun pol San familia
2026-11-02 14:45:29
2
Hawa's collection :
pole Kwa familia,ndugu jamaa n marafik
2026-11-02 14:47:19
2
Ansilaa Massay💕 :
imeniuma san nimetoa machoz japo siwajui ilaa daaah mungu awatie nguv familia ndug jamaa na marafik kz yangu Hain makosa
2026-11-03 18:09:49
1
user22223415691363 :
duuh 😳😳jamaniii adi nimelia na mim ,.cna la kusema zaid ya kutoa pole kwa familia.
2026-11-02 14:47:17
1
loniee💯💯 :
so painful jamaan
Mungu akawafunge mikanda wazazi wote
2026-11-02 15:02:00
1
Loveness♥️♥️ :
poleni jaman ndugu na jamaa namarafiofik🙏🏽🙏🏽
2026-11-02 14:51:18
1
Anethlicious,.. :
pole kwa ndg jamaa na marafiki na wanafunzi pia inauma saana
2026-11-03 05:33:29
0
jacklin :
mwenyez mungu awatie nguvu wafiwa wote😭😭
2026-11-03 13:45:58
1
mtoto wa mungu999 :
pole n xana
2026-11-03 06:07:40
0
hope aswile :
mhhhhh inauma jmn mung awalaze mahali pema pepon
2026-11-03 09:10:16
0
diello15♓ :
2026-11-02 14:43:34
1
ashamw :
poleni inaumizaa😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-11-03 09:33:21
0
My future 💓💓 :
R.I.P 😭😭😭😭😭😭
2026-11-03 06:43:53
0
tushynation :
Allahumma-ghfir lahu, warhamhu, wa ‘aafihi, wa’fu ‘anhu
2026-11-03 05:00:04
0
jrdx_ch1c :
so sad🤦♀️
2026-11-02 14:42:45
0
💯💯 :
inauma San Yani
2026-11-02 15:28:55
0
jasi cute🥰😍 :
dah inauma sana mungu azipumzish roho zao mahali pema peponi
2026-11-03 20:15:56
0
purity 🪷 Lady :
so painful
2026-11-02 16:45:03
0
Active man :
mwenyezi Mungu awapokee na kuwalaza mahali pema peponi
2026-11-02 16:31:27
0
Auntie jojo :
ila kifo jamn😭😭😭kinaumiza
2026-11-02 18:43:24
0
deboracharles463 :
Mungu fariji familia hizi
2026-11-02 18:12:27
0
Lilian Jofrey :
2026-11-02 14:45:39
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.