@bonaagrohub: 🌽🌱 UPANDAJI WA MAHINDI KWA DOUBLE ROW — 30–30–60 CM! 📏 Mpangilio wa upandaji: ✅ 30 cm kati ya mimea. ✅ 30 cm kati ya mistari ya jozi. ✅ 60 cm kati ya jozi zinazofuata. ⚠️ Hakikisha nafasi hizi zinafaa aina ya mbegu, rutuba ya udongo na upatikanaji wa maji. 👨🏽‍🌾 Unahitaji ushauri wa kitaalamu kuhusu kilimo cha mahindi? Wasiliana na BONA AGRO HUB! 📲 WhatsApp/Call: +255 688 400 095 +255 747 433 370 🌍 BONA AGRO HUB Learn. Grow. Harvest. FOR EDUCATIONAL PURPOSES ONLY #BonaAgroHub #KilimoChaMahindi #DoubleRowPlanting #MaizeFarming #Agronomy

Bonaventura Peter Mfugale
Bonaventura Peter Mfugale
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 02 November 2026 14:54:20 GMT
22091
757
28
57

Music

Download

Comments

samwelchenge
Samwel chenge :
Mko pande zipi
2026-11-03 01:16:56
0
m37142335
m :
hiyo empty space unapanda nini?
2026-11-07 18:17:46
0
c.raud
+ :
hapo kati kati uwezi panda chochot ?
2026-11-03 12:30:51
0
don_suprano
Don Suprano :
mche kwa mche ni cm ngapi
2026-11-03 17:31:38
0
elisha707
E ngomele :
kilimo ndo hiki sasa
2026-11-04 07:57:48
0
aziz.disigner30
Aziz Disigner30 :
Nahitaji maelekezo zaidi maana napanda mahindi
2026-11-04 08:16:40
0
miketipapa0
mike tipapa :
trip n gasia tu pesa yangu yte imeshia shambani
2026-11-09 11:42:38
0
innomapesa3
inno :
daaa inapendeza sana
2026-11-08 07:40:08
0
bonaagrohub
Bonaventura Peter Mfugale :
30Cm
2026-11-04 08:06:02
0
g2903142
g2903 :
Plant population per acre NI ngapi?
2026-11-03 08:34:35
0
geofreynjovu1981gmail.co
Ngonifaceless channel :
hadi raha watu wanalima aisee
2026-11-03 19:10:16
0
peternsopela0
user2708444048878 :
mahari
2026-11-03 06:45:45
0
g2903142
g2903 :
Kisha naona unatumia drips, elezea zaidi.
2026-11-03 08:34:56
0
gervas_360
Alcarez :
🔥🔥🔥
2026-11-03 07:00:32
0
To see more videos from user @bonaagrohub, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About