@jaminatz: Edit: Naomba mnivumilie😭🙏🏽 lugha tofauti zimezidi akilini na nilikosea kusema vitu vingine. Nilitaka tu kueleza kuna maneno mengi ya kiswahili ambayo ni maneno kwa kifini pia. Ila yanamaanisha vitu vingine. Sorry and thank you 😂🫡 #tanzaniatiktok #tiktoktanzania #swahilitiktok #kiswahili #lugha
mimi ni mzungu mswidi, nusu mfini lakini nimejifunza kiswahili kwa miaka kadhaa na sijui kifini hata kidogo 😂
2026-11-04 22:01:30
1
Kaiiza Agustini :
[Red heart] mambo
2026-11-05 08:06:04
0
Mbavuvlogs :
Sauti yako Tamu sana pia
2026-11-10 15:14:25
0
ZAHORO :
nakuja kuoa fini
2026-11-05 16:58:09
0
Gombo :
macho mazuri na nywele mzuri
2026-11-10 21:26:57
1
rorokwa0 :
Mtoto kwenye shule ya chekechea ambaye ana miezi 11 kataja VITU kila saa, walimu wakadhani anasema VITTU… Wakashangaa inakuaje mtoto mchanga anatukana hivi 🤣🤣🤣
2026-11-11 18:05:45
1
Ally Mohamedy Kupela :
safi sana
2026-11-05 05:03:11
0
❄️ Frozen flower ❄️ :
kifini ?!!? . sijawah sikia iyo nchi kbs kwnz Iko bara gani
2026-11-10 11:49:56
2
Mr ERICK :
fini ni wapi Tena 🙌
2026-11-08 05:34:42
0
Kevoo_clo👡👚👗👞👖👔🩳 :
kifini..ila unaongea kiswahili.kizuri sana
2026-11-08 03:21:11
1
Irene ❤️ :
my two sisters are married in finland and living there
2026-11-10 07:32:59
1
To see more videos from user @jaminatz, please go to the Tikwm
homepage.