@conny_fx: Kwa mara ya kwanza nililipwa laki tano na Godwin Gondwe nilichanganyikiwa.@Millard Ayo #swahilitiktok #connyfx #fypシ゚viral #tiktoktanzania🇹🇿 #trending

CONNY FX
CONNY FX
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 02 November 2026 15:44:36 GMT
81961
4202
28
65

Music

Download

Comments

255alban
DIRECTOR PICHA :
Kutokana Na Mapito yote Jamaa HAMSEMI MTU.....bado Anaona Yalikuwa Ni Malipo Na Alipaswa kulipa Hivyo jamaa Yupo humble sana
2026-11-02 18:34:38
49
user5010431439238
Ebby11 :
5,000/= ya 2005 ni 18,000/= ya 2026 so Ongezeko la gharama za maisha n karibu mara 3.6
2026-11-03 04:55:26
10
devotha0471
CHIMAMY😍 :
Hongera sana kwa uvumilifu mungu azidi kupigania
2026-11-03 04:24:12
5
rahma.shagilu
Rahma shagilu♥️ :
mm pia huwa nampenda huy kaka
2026-11-03 06:11:29
2
amadybakari8
Amady bakari :
2004/2005
2026-11-03 04:56:17
2
obote329
obote :
mungu dereva
2026-11-03 13:42:01
0
bogotacity29
🌇4️⃣YUZZ@5️⃣ 📿bgt.cty :
[Fire][Fire]Nakubal bro🫡..
2026-11-03 10:47:56
0
v.boy.mnyama
V Boy Mnyama :
sahv hiyo 500k anaingiza mara tatu kwa siku
2026-11-03 10:36:23
0
stevenlorri
_𝒈𝒖𝒏 𝒕𝒆𝒑𝒐𝒐𝒉 :
𝚍𝚊𝚖𝚗😂😂😂
2026-11-02 21:35:03
2
feruzy31
Hernandez chicha :
millad bonge la mtu hajivuni anafundisha salute
2026-11-03 01:56:21
9
kidoti.mamu
kidoti mamu :
2006 nikiwa na miaka 3😂😂😂
2026-11-03 05:04:36
3
user247689443
Ivan :
Gen z wakiona unasukuma GR Sport wanadhani ni rahisi😅😅
2026-11-02 20:05:05
8
noelobies846
Leonardo Danvici :
kumbe huyu jamaaa ni mzeee bna
2026-11-02 17:52:12
10
omaryramadhan312
Ramadhan :
muun ni mkubwa kiasi ichoo aisee
2026-11-03 09:55:21
0
kampoggo
Avy Cutee💞 :
mimi kazi yangu ya kwanza kwa mwezi nilikuwa nalipwa 50000
2026-11-03 12:53:01
1
marcushyacinth
Marcus 😌 :
Joseph Msami aliwahi kupiga kazi TBC
2026-11-02 20:07:01
1
To see more videos from user @conny_fx, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About