@machumuessaba: Ufunuo 2: 8 Na kwa malaika wa kanisa lililoko Smirna andika; Haya ndiyo aneneyo yeye aliye wa kwanza na wa mwisho, aliyekuwa amekufa, kisha akawa hai. 9 Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani. 10 Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima. 11 Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye hatapatikana na madhara ya mauti ya pili.

The_Bible_Traveller
The_Bible_Traveller
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 02 November 2026 15:50:43 GMT
15115
965
34
118

Music

Download

Comments

user8575848780252
@uronuabel :
Amani iwe nawe,umenifundisha mambo mengi sana kupitia makala zako. Glory to God
2026-11-06 20:31:59
1
user619149381127
maweu :
Mey God 🙏🙏🙏 remember you and meet your needs in the name of Jesus Christ
2026-11-07 10:02:03
0
mudafungwa.eric
Bu Size :
sija PATA kuerewa kwanini ikira sehemu inabaki kama makumbusho tu? na haiwi hivyo kwa mahari panapo semwa na bibilia tu bari hata Korowani? miji irihamwa iri iwe makumbusho? mbona reo miji ina karabatiwa rakini si kuihama?
2026-11-07 07:16:47
0
user95786202499753
dede :
simra kwa sasa panaitwaj huko uturuki..napenda kujua sasa panaitwaje ili kupata picha kamili...samahan lkn,
2026-11-02 16:40:26
0
marydimpoz1
Marydimpoz :
one day nitatembelea maeneo yote yalioandikwa ktk Biblia takatifu. ni tamaa yangu na Mungu namuomba aniwezeshe.
2026-11-03 05:38:02
0
user13277654236887
E j T :
niyesu yupi uyu alie igiza picha yayesu au yesu masihi mwenyewe
2026-11-03 06:38:13
0
machumuessaba
The_Bible_Traveller :
Simirna leo ni Izmir
2026-11-02 16:46:03
2
user5376181001756
[email protected] :
Tout ça dans quel pays actuel?
2026-11-02 17:28:25
1
paschal.oketch
Paschal Oketch :
Kidogo tu mtumishi katika kueleza, izo jumbe za hayo makanisa 7 sio kutoka kwa Yesu, ni kutoka kwa mitume, ambaye ni Yohane. Wakati wa Yesu hakukuwa na makanisa, makanisa yalianzishwa na mitume baada ya Yesu kupaa mbinguni.
2026-11-05 19:07:11
0
ir.modeste.dodo
CFK CHARLOTTE :
tunashukuru
2026-11-05 15:33:27
0
user6652318160934
martin :
mungu akubariki
2026-11-06 19:38:16
0
johnkatembo4
johnkatembo681 :
Asante
2026-11-04 19:25:37
0
kimbwenda
Kimbwenda :
amen
2026-11-05 10:26:41
0
user0976602620
Gustave brino :
jambo
2026-11-03 19:21:08
0
machumuessaba
The_Bible_Traveller :
Simrna leo paitwa Izmir. Eneo hili limeachwa kama kumbukumbu ila Jiji la Izmir haliko mbali na hapo
2026-11-03 10:55:41
0
user4955557467500
Rebecca :
amen
2026-11-03 07:27:17
0
loveyougod81
loveyougod81 :
Amen
2026-11-02 21:10:58
0
user887327091575
Héritier. kazadi. zaa :
amen
2026-11-02 20:42:41
0
sylvainkaba76
Sylvain Kaba :
jamani
2026-11-02 17:48:55
1
nikoambaeniko
niko ambae niko :
good
2026-11-02 18:26:44
0
user5122933227262
user5122933227262 :
ohhh thank you for information
2026-11-10 14:36:17
0
user884339237194
user884339237194 :
ok
2026-11-09 10:23:41
0
riseupjey
Riseup Jey :
mbn kumetulia hiv akun wtu hata ndege hawaongei aseh!
2026-11-02 19:15:46
1
user619149381127
maweu :
nina swali hapa je haya makanisa saba yako katika inch ya uturuki hama yako katika inch tofauti tofauti
2026-11-07 10:04:40
0
joel.assani2
Joel Assani :
🙏🙏🙏
2026-11-02 16:37:21
0
To see more videos from user @machumuessaba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About