naomba uzungumzie pingili za mgongo kwanini mifupa inaota na Nini dawa?
2026-11-03 13:53:53
1
Moon🌖 :
Niongee kwa kusimama au nilale? Iron deficiency kidogo inapeleke sayuni na sijapata solution.mimi ilifikia kipindi sitaki kula chochote ni maji,udongo na chaki tu
2026-11-02 17:30:37
5
AM BERTHA♓ :
umenikumbusha nikiwa form5 nilikuwa nalala mpaka nasahau leo j ngap asubuhi saa moja darasani nishalala kumbe nilikuwa mjamzito dah,,,,,
2026-11-02 16:41:30
12
annie_25 :
umenenepa saana doctor
2026-11-02 17:01:55
9
Her❤️🌹 :
Ase mm nilikua nalala 🙌🏼yn kipindi cha kwanza tuuu mm nishachoka nipo hoi
2026-11-03 06:36:52
1
ONLINE_STORE :
Me nakula natafuna sana mchele jamani shida nini nanunua kilo moja natafuna tu nabeba kwa pochi
2026-11-03 11:10:31
0
Mcoast :
ENZI ZANGU DARASAN
2026-11-02 16:08:15
7
rajabgift16 :
na hii kukosa usingiz n hzo madin chuma kuwa ming?
2026-11-02 17:45:14
0
Shio_chronicles🩺🧑⚕️ :
“Sasahv nmeshakua mkubwa “ you meant “sasa hv nmeshakua daktari “😂
2026-11-02 16:43:26
4
🤍 :
vipi hiyo ya kuwa umekaa, au umeinama af ukinyanyuka gafla unapata kizunguzungu unaona giza na sometimes kuangukaa...please help me inanisumbua saana
2026-11-02 18:59:13
1
minah :
Doctor samahani upungufu wa vitamins B12 ni
2026-11-02 20:04:04
0
gemini💕 :
ndo mm uyo nlkua nalala hatar
2026-11-03 06:07:26
1
wittie.🤍✝️ :
hata mm nina upungufu for real
2026-11-03 03:29:44
1
Joyangel :
Ulikuwa wapi mbona nilikuwa sikuoni
2026-11-02 16:35:28
2
Destiny :
Uyo mm uyo
2026-11-02 16:20:44
2
rukia54787 :
thank you dr kwa elimu nzur
2026-11-03 12:47:13
0
Y'sher✨🧿 :
Mmmh mm hadi mpak nilikua natakiwa nikaombewe walijua nna pepo la usingizi nilikua nalala saana after kumaliza shule daah hawaamin saiv kua kuna mda nakosa usingiz😂😂 anaenijua atasema
2026-11-03 06:10:28
0
Wandespeccy🦋 :
Na hii ukikaa hata sekunde 10-ukija kuinuka unaona nyotanyota kizunguzungu ninini🥺
2026-11-03 09:59:55
0
Vigilia Gilbert :
sijui inarelate hii, nikiwa nakaribia period siku moja au mbili before nakuwa nausingizi ambao hata nijitahidi kuupotezea siwezi lazima nisinzie hata kidogo yaan
2026-11-03 09:26:05
0
trade& carrier hub :
hhhhh mm hata nyama moja nilikuwa sili nilikuwa kama pono shule nzima inanijua haha
2026-11-03 08:43:49
0
JaNNetH :
Mimi nilikuwa kinara wa kulala kwa Darasa🤣🤣🤣🤣
2026-11-03 12:40:18
0
Dark Venus ♏🦂 :
me sipendi nyama jaman na nikila kuku broila ninatokwa mapele makubwa na yanawasha sijui ni allergie, na nakua na uchovu karibia Kila siku. Nitumie nin Cha kunisaidia
2026-11-02 16:31:51
0
To see more videos from user @doctornoel, please go to the Tikwm
homepage.