@nguvundani: KWA NINI UNAMFICHA MKE WAKO SIMU? Faragha ni muhimu, lakini siri zinazovunja mipaka ya ndoa zinaweza kuua uaminifu. Je wanandoa wanapaswa kuaminiana bila kuchunguzana simu? #Ndoa#Uaminifu #SiriZaNdoa #creatorsearchinsights #wisewordsformotivation

NGUVUNDANI | MOTISHA EA
NGUVUNDANI | MOTISHA EA
Open In TikTok:
Region: IR
Monday 02 November 2026 16:08:02 GMT
24556
1304
52
324

Music

Download

Comments

user572156177078
muadh :
mm mme wng ananichiti na cm yke hataki niishike naumiya lkn sn vyakufanya
2026-11-02 22:07:16
9
arasaa055
arasaa :
kama mm apa mume wangu ananichiti nalia tu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 yaan Kila nikiwa iv ndo nazipata post zako za ivi cjui nifanyaje
2026-11-02 16:27:46
7
user7802156865709
user7802156865709 :
shekhe mimi mume wng yn cm yke ciijui ata paswad na akikaa na mimi anageuza cm nabaki naliaa t nakuijutia hii ndoa
2026-11-05 18:09:18
3
saum4204
saum :
ukimuuliza anakununia mwezi nzima
2026-11-07 16:15:15
0
qute.naa3
Qute naa💞 :
ya mume wangu nashika masaa 24 na hanizuii na naikagua kila cku sina mashaka na mume wangu
2026-11-03 08:36:55
2
sharifamembe815
Shery Rm😍 :
Anaificha kwenye mto ndani kabsa ya foronya[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-06 07:10:01
0
user4610793438533
Shakira ashimu❤️ :
Kama anawake wawili je
2026-11-02 19:50:24
1
elizabethchao967
Zuleikha💫 :
mm wangu nlipata akicheat mpaka sasa sina Imani na yeye nmemkinai. Sina mapenzi na yy tena ale asile Sina haraka na na yeye yaani nmechoka ...aisee uaminifu ni kitu muhimu katika Wana ndoa
2026-11-04 04:44:34
2
user1122445996813
user1122445996813 :
uaminifu nimuimu ila sasaiv wanaume wingi wanatufichia sim zao paka choon wenda nazo yashanikuta ayo
2026-11-03 12:58:37
3
amina.furahisha
Amina Furahisha :
uyo ndio mume wangu kabisa yani kila kitu unachoongea
2026-11-03 05:14:23
2
user1561177319551mm
melania kakulu :
Mimi wala siulizi kwa sasa tena naenda na chumbani kulala sina muda uwo tena
2026-11-03 16:14:43
1
sumeta83
sumeta83 :
wangu ndio meneja 🤣 haswaa
2026-11-06 12:50:30
0
mrs.riyadhiidrisa
Mrs Riyadhi idrisa💕 :
Huyo ni Mume wangu toka niolewe ananificha cm yake
2026-11-03 18:15:45
1
12dec1945
Zeinab Said511 :
Uwe na uwazi kama Kuna uaminifu
2026-11-04 13:39:34
0
user8377707686157
ritha :
mimi wala simfuatilii simu ipo kama moyo wake yani adi chooni yeye na simi tu lakini nimempotezea sasa hivi
2026-11-06 06:23:39
0
rahssn.hussein5224
Rahssn # Butterfly 🦋 :
Simu yangu anaisachi tena hd ugomvi ila yake password kila mahali
2026-11-06 11:50:32
0
mrs.rm78
Mrs chilove :
naomba namba ya sm
2026-11-06 14:17:43
0
zuhura.hamisi62
Zuhura Hamisi :
pole jaman
2026-11-02 19:32:27
0
user4930881337388
user4930881337388 :
mm sina mamuzi mungu ndo atanionyesha njia ya kufanya hivyo ndo najiaminia atajutia mbeleni😂😂😂
2026-11-04 10:39:16
0
zenush1
zaiysh :
mmi napenda uwazi wa pamoja
2026-11-03 16:06:43
0
mumesaidi39
0622898814 :
kweli sheee
2026-11-04 05:19:35
0
lesh8232
Lesh :
sisi tulishazoea
2026-11-07 22:30:44
0
agness.maginga0
Agness Maginga :
mim wa kwangu password kila kona micll pwd sms pawd wsp password yaaan sm kama jeneza
2026-11-05 19:58:30
0
salome6219
Mariam Mariam :
mm nilishika akiongea na mwamke kwa choo nikamulinza akasema niwakili saa10 usiku aki atasai natafuta sheee juu amenzindi
2026-11-02 20:34:16
0
mamyy3796
mamyy :
sheikh cm inalal kifud fud,cm kindeg on air✈sheikh ndoa idumu ukwel na uwaz unahitajik wallwah,me ndy man........seeemore😂
2026-11-08 08:23:47
0
To see more videos from user @nguvundani, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About