Mungu atatukusanya tulioweka tumaini kwa kristo,awakumbuke na watoto wangu 🙏
2026-11-03 05:50:37
5
BUSINYA FEZA :
mungu atusaidiye
2026-11-04 11:02:03
0
niko ambae niko :
AMEN
2026-11-03 23:30:02
0
stella joachim :
Tanzania mungu atajitalia utukufu haitafika huku kama watanzania watamshika mungu wakweli na kumsadiki yesu na kushikamana kiimani na kidini na serikari kushirikiana na kuwasikiliza waumini wetu tutalishinda hili
2026-11-03 06:01:03
1
Mumy G :
Ni wiki ya pili hatusikilizi radio yaani zimekata zote 😭😭😭😭😭😭
2026-11-03 18:53:21
0
1998 :
Nikweli kabiza
2026-11-02 20:49:21
0
Sadiki Venance :
Ndio inakuja, lakini yenyewewe iko hivi, technology inaishi hapa kwa mda, lakini zingine zitaharibiwa maana Mungu anyone hapa tulipo fika hatukupaswa kuwa hapa.
2026-11-02 23:58:28
0
DALALI MAKINI TZ :
SIKILIZENI HAKUNA JAMBO LINALO KOSA MWISHO NI KWELI MWISHO WETU UMEFIKA! HIVYO TUJIANDAE DUNIA SIO SEHEM SALAMA TENA
2026-11-03 05:36:13
0
user9113509963282 :
mbona tunatixhana kila kukucha jamani.
2026-11-03 12:18:48
0
marycosmetics :
Heeee Mungu tusaidie. Apa nilikunatama ninunue flash nijaze mahaubiri na nyimbo kumbe nako sitasikiliza tena