Baba Ivoni usisahau tulivyojadili kwenye kikao chetu😂
2026-11-03 06:04:39
74
mrnicktz :
Imekuaje tena super woman
2026-11-03 08:11:09
15
watukule watukule :
Sasa 🤣🤣🤣mambo ya dawa yametoka wp 🥰🥰
2026-11-03 04:50:02
33
𝕄𝕆ℙ𝔸𝕆 :
mambo ya dawa ya nini sasa
2026-11-03 06:42:00
25
Waziry Jr :
Jaman mm ndio baba Ivon mwenyewe nimesikia ushaur wenu🤣
2026-11-03 07:03:06
21
qalbi :
baba chondochondo usikubali...[Tears of joy]
2026-11-03 07:44:34
0
Mark dollar :
KEEP CALM and SHINE
2026-11-03 08:20:56
0
Mpinga_aL Capone :
Jaribu tena Mama Ivone usichoke Wanawake mnaweza na nguvu mnayo..😀
2026-11-03 07:58:39
16
mjasambu :
bado huja sema
2026-11-03 05:18:49
24
toshaannko :
ogopa matapeli baba ivon
2026-11-03 05:58:55
7
John Francis :
ashapata mwingine asiye na kiburi
2026-11-03 05:08:04
24
pichichi fumunabao :
ayayaya😂😂😂
2026-11-03 09:03:52
0
harry harry :
super woman
2026-11-03 08:46:12
0
Lemaha Tito :
sitaki sitaki kaa mbali😁😁😁😁
2026-11-03 06:43:05
6
LEE :
Usisubutu kukubari baba ivon
2026-11-03 06:15:46
9
Abgurun Hussein :
Umeharibu kwa kutaja dawa
2026-11-03 05:35:57
23
davy :
Baba Ivon plz plz usijaribu
2026-11-03 06:16:16
12
Jay Jay74 :
Ukimsamehe umsamehe tu ila hawanaga haki ya kusamehewa kwasababu
1. Alichikitarajia ngefanikiwa asingekkumbuka tena
2. Huenda anataka kurudi kwako ili ajipange vyema aweze kuondoka tena