huyu mwaraabu kuna kitu alifanyia mtoto wa wenyew mbna akachukua camera😭😭 aky umaskini n mbya unafanya tunakuja kuwafanyia kazi n watu unafanyia kazi hawana huruma mungu atupee nguvu n uhai tumalize huu mwendo mungu hairaze roho yake mahali pema peponi
2026-11-02 18:55:09
28
Super woman 🥰🥰 :
so painful 😭😭😭
2026-11-02 20:16:43
0
Melony🇸🇦 :
Mungu Linda teamstrong wote, pole Dada ngu my ur soul rest in peace
2026-11-02 18:58:54
10
Dorcas Akaki :
Nyinyi hamjui hawa watu,inaezakuwa ni kitu wanajua,ni evidence walitafuta ndo mjue alianguka akicheza akakufa,angalieni vizuri the lady is not okay at all woye[Broken heart][Broken heart][Broken heart][Broken heart]i real hurted ........
2026-11-02 19:10:07
7
Magiee Hamso :
rip joy 😭😭😭
2026-11-02 20:39:02
0
highly favoured💞💍🔐 (Miss G) :
the fact huyu mwarabu alishutuka n mtu alikuwa msuri Alf kaa c hii kurecord alirecord sah tungekuwa tunasema aliuwawa mungu ana mipango yake , my the soul rest in internal peace 🕊️🕊️
2026-11-02 19:07:54
17
angella :
ghai jesus
2026-11-02 20:07:42
0
wantum siku zote ...patrisha :
Mimi Wacha nikae Kenya
2026-11-02 19:09:32
7
TRACY TRACY🤍🤍 :
joy my neighbor home 😭😭
2026-11-02 18:36:22
6
Rabecca philip :
poleni
2026-11-02 20:08:36
0
Pauline 🇰🇪❤️ :
painful
2026-11-02 20:11:59
0
mam olive :
Hii n blood pressure ama heart attack,,, alirecord aki furahia vile anacheza n mtoi but uyu dem lbda alikuwa n shida but akuwa aware,,, i wish ake relax kwanzaa 😭😭😭😭😭😭😭
2026-11-02 19:19:10
1
Muriuki Noryn :
mh kenya sitoki heri nikule ugali na chumvi
2026-11-02 19:03:38
2
bettymaraka :
kuna mtu ameshika huyo mtoi hapo nimeona mkono
2026-11-02 18:43:18
4
allanruto6 :
mm I regret Kuna gulf
2026-11-02 19:26:00
0
liz:mamake💗💗💗💗 :
ni terget fulani sio bure ndio watu wajuwe alikuwa anacheza akanguka mbona venye alianguka hawakushtuka mimi nguvu iliisha one day waiguru alinilea hadi hosi
2026-11-02 19:24:00
1
🦋Humble 💕girl🇰🇪/🇶🇦💜❤️🫦 :
Alikua amechoka lkn nikulazimishwa afurahishe mtoto 😭😭😭💔
2026-11-02 19:23:48
0
🦋Bevy🦋♥️ :
huyu Dem amuwawa juu mbona huyu mtoi anashikwa mkono na mtu akitaka kuenda kumsaidia joy🥹🥹Alf tena mbona alirekodiwa whicheans this was just a setup nothing else,😭😭😭
2026-11-02 19:19:35
0
Radiance💖 :
Kuna nyumba nilienda aty mtoto wa 4 months tucheze naye ile altitude nilieka siku kadhaa nikarudishwa ofisi
2026-11-02 19:30:32
1
Dhabi🥰🥰🥰 :
uyu wa camera n nani akii 😭😭😭
2026-11-02 19:19:24
0
Agnes🇰🇪 :
hapa ni mumgu tu anajua what happened. hakuna kuchoka unachoka adi unakufa nooo
2026-11-02 19:38:58
1
Blessing Sam :
why was madam recording,did she knew what was going to happen next,do she records her kila wakati ama ni leo tu,hata hivyo angekuwa mgonjwa ange jiskia hayuko sawa na immediately awache kuchezesha mtoto,nko na maswali chungu nzima nashindwa kujijibu ni uchungu sana,RIP our sister 🥺🥺😢
2026-11-02 19:13:59
3
d0risobara :
walikua wanajua 😭😭😭 naona mtu akishika mtoto muko na aeezi saidia joy😭
2026-11-02 18:53:50
4
To see more videos from user @desertsecrets1, please go to the Tikwm
homepage.