@islamicswahilinet: IJUE MISINGI MITATU YA ELIMU YA KISLAMU KATIKA MALEZI (IQ, EQ & SQ) Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 02 November 2026 16:31:41 GMT
8628
988
13
121

Music

Download

Comments

ummy.nailah
Ummy Nailah :
usifungie video sorry
2026-11-03 07:37:57
1
otiso_254
O̶ T̶ I̶ S̶ O̶ :
mashallah🙏
2026-11-02 16:36:05
2
halimakabandakamw
Halima Kabandakamwe :
Masha Allah
2026-11-02 16:42:21
2
shizo3520
shizo :
Allah akuhifazi mimi nakupenda kwa ajili ya allah
2026-11-03 13:06:45
1
habiba.omar32
Habiba Omar :
Masha Allah
2026-11-03 13:18:21
1
hassanishaame
Hasanchipa :
mashallah
2026-11-03 07:15:32
1
hababazein
Hababa Zein :
Masha allah
2026-11-03 14:29:15
0
ameenahidris482
Astaghafirullah :
Masha Allah
2026-11-03 10:56:50
0
mwamed92
mwamed@ :
❤️❤️❤️
2026-11-02 16:36:18
0
abdallahmalkiomar
Abdallah malki Omar :
🥰🥰🥰
2026-11-03 13:13:08
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About