@sabimedia_1: masikitiko makubwa, tunapokea taarifa za kifo cha aliyekuwa mwanafunzi wa @pugualumni na mwanafunzi wa @udsmofficial udsm Mika Reuben Kasonzo, mhitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2020, kilichotokea tarehe 22 Oktoba 2026 kufuatia ajali ya barabarani. Awali, Mika alikuwa ameripotiwa kupotea baada ya kutopatikana kwa muda na juhudi za kuwasiliana naye kutofanikiwa. Kwa masikitiko makubwa, sasa imethibitika kuwa amefariki dunia. . Tunawaombea kwa Mwenyezi Mungu awajalie faraja, nguvu na moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu cha majonzi. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amina. #pugualumni #udsmofficial #darusomlimani

sabimedia_1
sabimedia_1
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 02 November 2026 16:47:18 GMT
15545
225
7
7

Music

Download

Comments

user1753014781918
𝚜𝚒𝚕𝚎𝚗𝚝 𝚙𝚑𝚘𝚎𝚗𝚒𝚡💞 :
𝚓𝚊𝚖𝚊𝚗𝚒 𝚒𝚗𝚊𝚞𝚖𝚒𝚣𝚊
2026-11-02 18:25:19
1
aisha_mfaume
aisha :
du poleni sana
2026-11-02 21:33:29
0
user3783191710823
Ann Joshua :
so pain
2026-11-02 18:36:21
0
rachael6122
~~Rachael .. 🫆 :
Dahh Mika😭💔apumzike kwa Amani
2026-11-02 20:19:39
0
aggyangel03
aggyangel :
maumivu😭😭
2026-11-02 19:13:08
0
mr.trust3
Mr trust3 :
TSS familiar
2026-11-02 20:28:07
0
mahracake_and_icecream
mahra_cake_and_icecream✈️ :
so sada
2026-11-02 18:43:31
0
To see more videos from user @sabimedia_1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About