Ndugu zangu huu sio Udini kwa sababu Baba wa Taifa mwenyewe kwa mamlaka yake aliamua kuusema ukweli na alikua na dhamira nzuri ya kutoa fadhila kwa waliomfadhili kwenye harakati za Uhuru. Huo ulikua moyo wake wa kweli
2026-11-02 17:16:06
7
precious :
Kwani Kama alibebwa na wa Islam shida ni nini?
2026-11-02 19:42:44
5
MZABWA_MAGAR🚘🇹🇿 :
HAPO BAGAMOYO KWA BABU YANGU MZEE LAMIA
2026-11-02 21:46:00
2
Golden Eagle ~🦅 :
kwahyo tufanyeje Sasa.
2026-11-02 18:59:19
2
Edson Tegete :
uwo ni udini
2026-11-02 18:18:56
5
doujarzedon encyclopedia :
yeye mwenyew nyerere kabla hajafa alifanya nini kwa waislam kulipa fadhira kwa aliyofanyiwa!?
2026-11-02 18:23:33
2
Ninja 🥷 :
Kwan Tanganyika ilipata uhulu mwaka gani
2026-11-03 01:01:31
0
stivo :
unataka kutuambia nn sasa tuanze vita ya udini or lengo lako ni nn hasa
2026-11-02 19:58:03
0
Maliki Madone45🙏💪 :
ALLAH AKBAR [Pray]
2026-11-02 22:11:02
0
Mussa Mohamed :
Kuna watu wanasema ni udini. huu sio udini bali ni historia. na ni historia ya kweli.Sio hizi historia za kudanganywa eti Ukristo ndio wenye m mchango mkubwa nchi hii halafu historia ya Uislam inafichwa
2026-11-02 19:54:06
6
Dr. Mtauni Mansour. :
🤣😂😅😆
😆😅🤣🤣
🤣😂😅😆😁😄😃😄😁 tOP tOP 🔥
2026-11-02 20:15:41
0
Sir Isack Mashow :
Sasa hiyo inalisaidia nini Taifa? au inamchangogani katka maendeleo?
2026-11-02 18:43:47
0
fadhili bwanga :
ukweli usemwe japo unauma
2026-11-02 19:27:15
5
YANGE media :
Allah akupe kaulithabit sheikh wetu
2026-11-02 20:12:46
6
mandinga🚘LOGISTICS⚙️ :
takbiiiir takbiiiìiir allahu akbar
2026-11-02 20:43:30
1
Mudy OG, :
taqbiiiiiiir
2026-11-02 19:46:11
3
Mussa Mohamed :
Kuna watu wanasema ni udini. huu sio udini bali ni historia. na ni historia ya kweli.
2026-11-02 19:52:35
1
mfaumekhasim :
masshallah
2026-11-02 20:33:31
1
wellahsuleiman :
MUNGU ATUONDOLEE MARADHI, NJAA, UKAME, VITA. ATUPE UPENDO NA FURAHA.
2026-11-02 19:57:33
1
👑 :
2026-11-02 19:11:52
2
ALL ABOUT BUSES BACK UP🇹🇿 :
RIP ILUNGA🥰🥰🥰
2026-11-02 19:42:47
1
LOMY Disiner :
ukweli mtupu
2026-11-02 18:50:59
2
sostenespius :
Kweli
2026-11-02 19:19:52
1
To see more videos from user @haaabib007, please go to the Tikwm
homepage.