lakini fundi alioshona hiyo sut has to be arrested please coz he has committed a crime against our country
2026-11-02 22:02:01
0
rich jr :
katika maisha usije kudhiaki mtu kwa kasoro ya kipata ata ulemavu,me navyojua hakuna mtu asiyetaka kuwa nadhifu.uwezo wa mtu isiwe mlinganyisho wa kichekesho kwake.maisha hayana formula
2026-11-02 18:25:03
109
Mavido Daniel :
I would love to see this man in a nice suit
2026-11-02 22:01:57
0
2020208 :
it feels nice wearing a supreme court 😁
2026-11-02 22:35:25
0
SACHA ♎ :
Mjomba wangu huyu anaitwa Onesimo pia ni mzee wa kanisa🔥🔥
2026-11-02 17:58:33
42
PATRICK🇹🇿 :
Sura za mbinguni hizi
2026-11-02 19:07:13
19
Ambasador of Néema Gospel 🧠🫵 :
Ogopa mtu anavaa suti ya hvi 😂😂😂❤️❤️❤️❤️💯
2026-11-02 18:06:19
15
Joseph Edsa kewulay :
Yes correct hahahaha 😂😂😂😂😂
2026-11-02 22:31:32
0
Peter Musyoka :
tukue serious 🤣🤣🤣
2026-11-02 21:07:28
0
mashotoney ndeli :
huyu baba kama ana watoto na anatokea kilimanjaro basi familia yake imuombeee sana kwanza ameoga akaenda kumuabudu mungu na sio kwenye vilabu vya pombe na mataputapu mungu mzidishie baba huyu kiwango chake cha imani kizid zaid nimependa sana sisi wazee wetu wamesha tangulia ila pombe pombe zimeharibu sana wazee wetu huyu babu natamani hata nimtumie sadaka yangu kanifurahisha sana ukiwa hujaona familia zilizoteketwa kwa ulevi huwezi mwelewa huyu baba 🥰
2026-11-02 20:00:10
12
Mvungi kah fundi makini :
fundi alioshona hiyo suti moto wamikeke umuwakie😂
2026-11-02 20:27:40
1
mrs dullah💞💕 :
asante mungu karidhika na anaenjoy na kidogo alicho nacho barikiwa mno mtumishii🥰
2026-11-02 19:08:05
13
msharaph athuman :
niceee
2026-11-02 21:12:45
0
waida :
huyu mzee nilivyomuona tu nikagundua hii ni sura ya mbinguni kabsa mungu mzidishie iman huyu mtumishi wako na mbariki kila hustles zake🙏🙏
2026-11-02 20:13:17
4
. :
kwa yesu rahaaaa jaman🔥🔥🔥
2026-11-02 19:22:36
5
Neema Sinduka :
mwenye namba ya huyu baba nisaidiwe ili nifanye chchte japokuwa sina,mwenye namba nisaidieni
2026-11-02 20:26:34
3
Damali Mwendi :
mungu akubariki baba angu
2026-11-02 19:12:45
3
service :
kwa yesu raha bhna🥰🥰🔥
2026-11-02 18:51:18
3
⚔️ 𝐅𝐄𝐑𝐑𝐀 亗 :
yu upande wangu.....
2026-11-02 18:55:47
3
shady monster :
me namtamani sana mana ujuaji umenizidi bora niwe kolo nikazekeage kanisani
2026-11-02 20:07:05
2
Nana :
sijui mbona hii imeniguza
2026-11-02 19:32:50
0
LaukingTz :
Ogopa mtu ana nata na beat
2026-11-02 19:56:22
1
Lizy🦋 :
2026-11-02 18:05:26
1
Miss. Mollel :
uncle ndani ya LANGO 🥰🙌🏽
2026-11-02 18:43:31
1
Bytex⚽️💯 :
Fundi ni mmoja Africa mzima😊
2026-11-02 20:37:12
0
To see more videos from user @neemagospelchoir, please go to the Tikwm
homepage.