mechi imeisha ila bado mapigo yangu ya moyo yapo kas 😂😂😂😂😂😂
2026-11-02 18:31:52
109
the king☠️☠️ :
dumbia motoo🥰🥰
2026-11-02 18:19:04
60
wimbi la kitintale :
Ila Morice Abraham ni mali sana asee
2026-11-02 18:37:10
30
Kibona Nitakase :
wame jitahid san namungo [Teary eyed]
2026-11-02 18:51:21
0
saidjr :
OURAAAAAAAAAA
SIMBA 3 - 2 NAMUNGO
2026-11-02 17:53:40
15
The_Prince✅ :
TUMESHINDA LAKINI MPAKA SASA MOYO BADO HAUJARUDI UNAPOISHIGI😁
2026-11-02 18:47:53
10
ishengoma :
kufunga unaluhusiwa ila usishinde
2026-11-02 18:46:43
10
kerewe boy :
Mdog mdog tu...kutok 6 had kuanz kufny comeback nymbn😂😂
Vina muda sas ndo kwnz round ya 11 out of 30
2026-11-02 18:20:47
6
JITU LAMTUMBA :
doumbia ndo qnaamka sasa
2026-11-02 18:29:20
13
Chrispin Jr05 :
kam unaipend simb mwaga makopaaaaaaaa
2026-11-02 18:24:57
11
martinez :
Hili goli limewaumiza wale wa upande wa pili Kuliko NAMUNGO🤣
( STAKI KUFOKEWA)
2026-11-02 20:02:08
1
BEY 4️⃣5️⃣ :
hakuna kukata Tamaaa wanasimba
2026-11-02 18:43:43
6
user5341405281820 :
namungo wangekaza tu
2026-11-02 18:07:26
0
KAKA UCHEBE SUBA OG :
p9ppl9llllll
2026-11-02 18:17:51
0
user3613244433066 :
H khan
2026-11-02 19:39:15
0
prasdopaul :
uyojamaa atatuuwa huyohuyo☺️☺️
2026-11-02 18:41:43
0
gelmana :
mtoto halali na pesa na ngoma ya kitoto haikeshi
2026-11-02 18:31:09
4
Gift Kenneth :
Yan kupata magoli kwa Simba inawezekana ila izo point 3 au Moja kupata APo ngum asikudanganye mtu
2026-11-02 19:41:20
0
YOUNG TALIBAN 🫡(طَالِباَنْ) :
:Wakat anaingia Doumbia kuna wana Simba wakabeza afu Wana yanga wakashangilia nikawambia oya Doumbia kwa mipira ya juu atasaidia timu , kacheza dakika chache header mbili moja ikabuma , nyingine on target, bicycle kick on target yan kapiga on target nying zaid ya mpanzu ,na katengeneza penalty binafsi doumbia ndo man of the match here we go 🔥🇹🇿🔥🔥
2026-11-02 19:02:40
0
user141582924019 :
mbereko imeusika
2026-11-02 18:03:16
0
Saidi Mandia :
huyu jez namba 21 wa Namungo sijui ni beki wa aina gani, timu imeshasogea juu yeye kabaki nyuma peke yake, goli linafungwa anahamasisha wenzake wapambne
2026-11-02 18:20:48
0
Adam :
leo umetubeba
2026-11-02 18:18:32
0
Alizking32 :
assit nani
2026-11-02 18:24:46
0
Francis Mroni :
dombia katubeba bila penat tuliyoipata tungelala na viatu pongez kwa dombia
2026-11-02 18:41:31
0
lizzylee :
kuna timu imeumiaaaaa😁😁😁
2026-11-02 18:36:54
2
To see more videos from user @saidgadsonsaid, please go to the Tikwm
homepage.