@kisiwachasheria: #creatorsearchinsights RENT DEPOSIT IS NOT FOR THE LANDLORD NOR MEANT FOR RENT Wengi hawaelewi! Deposit si rent na si pesa ya landlord kutumia. Ni dhamana ya kuhakikisha nyumba iko sawa ukitoka. Landlord haifai kuikata kama rent. Sheria iko wazi. Ulishawahi kuliwa deposit? Na Landlord je, tenant alishawahi kukosa kulipa akasema utumie deposit? Niambie kwenye comments. #KisiwaChaSheria #SheriaYaNyumba #LandlordTenantKE #RentDepositKenya
But what if I found those damages and he has refused to do the repair the house but I cannot allow him or her to use my money for repair I did not cause
2026-11-07 21:36:48
0
sheminak2 :
landlord amekataa na diposit yangu na nyumba iko sawa alafu akanitusi
2026-11-03 05:45:48
0
lutfia🥰😊 :
naomba kuuliza na repair ziki zidi repair mimi kama landlord nifanye nini? naomba unielimishe
2026-11-02 19:12:22
0
Josephine Mwangi :
hebu pia ongea kuhusu rights za land lord
2026-11-08 12:53:04
1
Kimenyi :
supposing you rented a house for a long time say 10yrs, is the landlord not supposed to carry out any maintenance of that house
2026-11-04 16:55:51
1
Mohamed Mambo :
Wanakaa nazo mpaka tumezoea kukalia deposit ndio tuondoke
2026-11-03 06:55:04
0
Aljufri :
huku kwetu kisauni wapangaji wengi sana wanatumia ujanja wa kutumia deposit yake kama rent na akiondoka mara nyingi hua wameharibu nyumba. Kwa hivyo ma landlord wengi humalizikia kufanya repairs from his own pocket [Crying]
2026-11-04 08:13:50
1
Tamasha :
and what about kama nime repair nyumba mwenyewe bila landlord
2026-11-04 11:02:26
0
user mama chalo :
tenant wengi wanaumbua sana wamekalia deposit na mtu kiburi
2026-11-03 06:54:41
0
KIMICO ENTERPRISE :
ndio kuna mmoja amekalia mwezi huu wa tisa na akasema atatoka tarehe saba maana ndio siku aliingia kwa nyumba
2026-11-03 15:57:34
0
Ahmed :
Ahsante sanaaa
2026-11-03 02:45:27
1
Leah nimmo :
Mimi sina deni lakini landlord amekata stima na ananikujia kwa mlango ati nihame kwa sababu nilitembelewa na marafiki nikiwa mgojwa plz nisaindie
2026-11-04 06:33:53
0
To see more videos from user @kisiwachasheria, please go to the Tikwm
homepage.