@madam_nenee: WANGAPI WANAIKUMBUKA HII KWAYA? (Gen Z wadogo zetu tunawapenda lakimi kaeni pembeni kwanza kidogo) 🥰🥰😘

Nenee
Nenee
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 02 November 2026 19:10:20 GMT
4795
183
44
69

Music

Download

Comments

user6026634058607
tuse1 :
Wamama Warembo[Heartwarming]
2026-11-04 06:36:58
1
happy.happier05
Happy Manka :
Hongereni sana Victory Singer's Choir kutoka Kinondoni Revival Church TAG
2026-11-04 10:17:54
0
mom.g00
MOM G :
mama ana mikogo toka zaman[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-11-04 20:27:32
0
amilen63
non :
energy 10/10
2026-11-03 19:20:07
1
magrethwincelaus
Magreth Wincelaus :
vickiri
2026-11-03 08:22:26
0
chiku8441
Chiku :
hizo ndio zilikuwa kwaya ni kumtukuza Mungu tu. Hongereni sana mbarikiwe
2026-11-04 04:40:11
2
user5533101346602
Lucy :
Tena walikuwa na mavazi mazuri na walikuwa wanaimba vya kutoka moyoni haswaaaaa yaan wanamaanisha
2026-11-04 08:21:45
2
piper_6383
piper_6383 :
nilikuwa napenda huo wimbo sana .nilikuwa mschana wakati huo
2026-11-03 07:23:55
3
esther.magomba
Esther Magomba :
kindumbwe ndumbe cha utukufu bwana yesu yu haiii. Asante yesu kwa kutufutia mashitaka pale msabalabani
2026-11-03 06:00:13
4
user96507767418335
user96507767418335 :
Ameeen nilikua nakupenda sana huu wimbo
2026-11-03 20:08:30
1
sandegmw
Mwaniwe :
good kwaya
2026-11-04 07:32:14
1
user3733984506597
user3733984506597 :
Mungu awatunze sana.kwa mara ya kwanza nikiwa kisutu sec niliwasikia Jagwani kwenye mkutano wa Injili🥰🥰🥰
2026-11-03 18:58:49
2
maryam.andrew
Maryam Andrew :
Huyo mama alikua na ka baby fece jamani siku zinaenda 🥰🥰🥰
2026-11-04 05:41:37
1
rosesilem4
🌹🌹 mtoto wa Yesu :
hongereen mpendeza sana huduma yenu ni njema
2026-11-03 09:16:01
1
juliana.mboma1
Juliana Mboma :
Kipindi nasoma Makongo sec walikuja kwenye graduation ya wana CASFETA
2026-11-03 13:43:55
0
mtetezi.wangu.yu
MTETEZI WANGU YU HAI :
Kinondoni
2026-11-03 15:15:01
1
sarahyenda768
Sarah Yenda :
safii sana enzi za mikutano Jangwani lzm wawepo barikiwa
2026-11-04 13:00:13
0
nkondolachristina
christinankondol2 :
mtuache Enzi zetu tulimuona Mungu na mwalimu wetu Mwalubalile
2026-11-04 10:31:24
0
amilen63
non :
mama sauti uwii
2026-11-03 19:20:15
1
victoriamsangi2
M-Beroya :
nakumbuka mbali sana.
2026-11-05 05:07:08
0
sophiamwile582
Sophia Mwile :
ulikua kama litrugia ndan kwangu🥰
2026-11-04 16:33:19
0
lvlyx...8
Girl.from.njaro🦋🌸 :
jamani mmenikumbusha mbali huyo sololisti wa hii nyimbo bado yupo kinondoni jamani na kaka nyambele,kaka nyambele kuna kipande alikuwa anasolo wimbo fulani hii anasema twende mbingu eee aiseee safii sana
2026-11-04 21:44:03
0
inkamich_11
mother of joy :
Yaaani walikuja Tanga 1992 Pale viwanja vya Tangamano kwenye mkutano wa Injili .mimi nilikuwa Mwl .Maweni S/M. niliwakaribisha nyumbani kwangu Maweni Chakula cha mchana .yaaani nimefurahi sana kumuona Mwavita . Glory be to Lord Jesus 🙏🏻
2026-11-04 17:26:56
0
mtb0653
MTB :
kwaya Victory
2026-11-03 17:16:56
0
user1616823268372
user1616823268372 :
Ameen
2026-11-03 17:10:52
0
To see more videos from user @madam_nenee, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About