@madammastermovies:

madammaster movies
madammaster movies
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 02 November 2026 19:27:09 GMT
35060
2009
133
94

Music

Download

Comments

ashminoz
A🌹Mi🦋noz🌹 :
madirector wa uturuky nao hawajitambui ata kama picha zao zina uhalisia iv bib shehika na kina neslihan kwa utajir wotee walokua nao washindwe kuserve pesa kweny account kweli!? tisa kumi wameshindwa ata kujenga nyumba ata mbali na mjin kweli!! yan ni nyumba moja tu maisha yao yote my director katupigaa hapo hakuna uhalisia ata robo .....
2026-11-02 21:54:43
11
sanura224
Sanura cutiee :
hhaaahaa😂😂😂😂😂murat yani why why why neslian usimpe na kofii la kushotooo
2026-11-02 20:45:24
1
mdala_wa_kingoni
MAHI ✨🇹🇿 :
Ila batu
2026-11-02 21:00:38
3
raysaj96
رملة صندل :
Allah atujalie watoto na wasio kua nao awape inshaallah ila ukweli usemwe watoto wa kiume Ni neema kutoka kwa mungu kuja kwa mama atakaezaa wtoto wa kiume 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-11-02 20:53:12
16
user3545546777424
Cookie 🍪🍩🍪🫦🍭 :
bi shahika jmn kipindi anakampuni hakuwa hata n nyumba y Siri jmn
2026-11-02 20:13:31
15
mona_lissa04
Official_Lissah😍 :
Kwamba neslian ndo kaacha kumtafuta koray kabisa
2026-11-02 20:14:14
6
prettythum
pretty thum🥰😍 :
yan mikasa ya neslahan,damla na murat wanakuja kuingia watu wasiokuwa na hatia poyraz jaman na Melis wamenasa kwenye game la watu
2026-11-02 20:24:14
7
user6197904952577
𝑎𝑙𝑜𝑦𝑐𝑒𝑞𝑢𝑒𝑒𝑛🌚 :
nampenda sana batu 😘
2026-11-03 08:44:00
4
phine9017
phine :
kwani madam master yuko wap?
2026-11-02 21:36:56
1
elizabethlameck65
Li_zzyqueen🌸 :
Kwayo kesi ya korai imefikia wapi jaman🥺
2026-11-02 22:06:16
1
huzaymaamru3
dhahabu 💫♐ :
hii inaisha lini jamn
2026-11-02 20:26:16
2
user7527406768081
ukth sumaiya 🌸🌼 :
jamn hiv na nyie mnatoa machoz kama mm😮‍💨🥹
2026-11-03 07:06:09
0
sheyshey623
sheyshey :
fahari ya mama ni watoto wake jmn neslihan ameniliza leo
2026-11-03 06:08:18
2
...rhomi03
_RM😇 :
Kusubiri huku😂😂😂
2026-11-02 19:31:23
8
ruuhofficial69
Am Ruuh❤️ :
ikifika kipande anapokuw neslihan na damla na mam ake wakiw pamoj natamn wasiondok waendeelee kuchmban wananikosh veepe
2026-11-03 07:13:01
0
zahrarehani60
zahrarehani60 :
nimewahi jmn next unitag kipenzi
2026-11-02 19:35:53
5
myrahkweka14
myrah❤ :
Ila mama yake neslihan anamchanganya sana mwanae , wapo kwenye wakati mgumu lakini anamkatisha tamaa
2026-11-02 21:31:59
0
user3545546777424
Cookie 🍪🍩🍪🫦🍭 :
kwani acaunt yko y mwanzo imekuwa band ??
2026-11-02 20:10:23
2
elizabethlameck65
Li_zzyqueen🌸 :
Napenda batu anavyoongea jaman 🥰
2026-11-02 22:16:14
3
user4902967017815
user4902967017815 :
asant madam
2026-11-02 19:39:14
4
j12345370
j12345 :
asante kipenziii
2026-11-02 19:54:13
3
dramaqueen0913
JESHI_LA_M2_M01🥷💪🤭 :
Neslihan jomn🥺
2026-11-02 21:53:22
2
barkeseyd
##Balqee## :
aw
2026-11-03 04:41:37
0
sara.simeon5
Sara Simeon :
asanter
2026-11-02 19:59:38
2
ms_dowry
. :
hii sSa inabia neslihan kila siku yeye tu nmeshaichoka
2026-11-03 07:30:49
1
To see more videos from user @madammastermovies, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About