Mwenyezi Mungu amekataza kuomba kiumbe chochote kilichokufa kwa madai ya kwamba kinamkurubisha mtu kwa Allah au kinamfanyia uombezi.
Kuwafanya wasta kuwa ndio njia ya kumfikia Mungu:
Mwenyezi Mungu amekemea vikali hoja ya washirikina wa zamani ambao walikuwa wakidai kuwa hawawaabudu masanamu au watu wema waliokufa, bali wanawatumia tu kama wasta (vyombo vya kuwafikisha kwa Mungu).
"Na wale wanaowafanya walinzi badala yake (wakisema): 'Sisi hatuawabudu ila ili watukurubishe kwa Mwenyezi Mungu kupata daraja.' Hakika Mwenyezi Mungu atahukumu baina yao katika yale waliyotofautiana..." (Surat Az-Zumar: 3)
2026-11-03 04:34:35
1
AbuuMohamed :
اني لا أملك لكم ضر ولا نفع
2026-11-03 04:14:18
0
Abu♤♡♤Marthad☆ 🇸🇦🇹🇿 :
mtihan saan Allah atuongoze
2026-11-03 10:14:00
0
Zuheir Mohamed :
swadakta
2026-11-03 04:03:30
1
jambojoy :
Nikuulize,lengo la kuweko kwa Kaaba ni nini?Na Kaaba ni mtume Gani wa kwanza alianza kuzuru na lengo la kwenda kuzuru ilikua ni nini?wakati wa zama watu walikua wakiabudu masanamu ,al-kaaba ilikuwepo?na kama ilikuwepo waliitambua vipi?kati ya Kaaba na masanamu ni kipi kilitangulia katika kufanya ibada
2026-11-03 05:50:33
0
Abu Hasoouny :
mbona hio clip ya iswamu hukuacha akamaliza maneno yake umemkata vipande
2026-11-03 05:24:40
0
Hassan salat :
wameyapata wapi hili fundisho kweli ni uislamu imefunza hivo??
2026-11-02 20:44:55
1
abdalla ali gaedi :
mshirk yeyote huwa n mjinga ata umuone ametengeza ndege
2026-11-02 20:26:31
1
abdallahalisalim :
sheikh zumbukuk, vitabu vinamzingira wala hajui kuvisoma
2026-11-02 20:03:25
1
khalifa swiddiq :
mushrikinà hawa ,utapata wameachiwa miskiti. innaa lillahi wainnaa ilayhi raajiuun.
2026-11-02 21:51:49
1
dee :
subhana llah
2026-11-02 22:15:19
0
AbuuMohamed :
mushrik mushrik mushrik
2026-11-03 04:16:20
2
AbuuMohamed :
ubadul kubuur ubadul kubuur ubadaul kubuur
2026-11-03 04:16:47
2
Mussa Mohamed177 :
subhaanallah,, halafu upeleke mtoto wako kwa hawa akasomeshwe nao,, si atafundishwa shirki ndugu zangu subhaanallah,,,
Allaah atuonyeshe haqi na atuwezeshe, kuifuata,,,
2026-11-03 07:34:36
0
el mariachi :
duh kwani mambrui kuna maiti wanasayansi😳😳
2026-11-03 09:12:08
0
sorella :
shirki
2026-11-02 20:03:38
1
captain jr :
❤️❤️❤️
2026-11-02 19:58:15
2
The only 202 :
🥰🥰🥰
2026-11-02 21:32:38
1
user612005306 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-02 20:05:41
1
ahmetho :
😳😳😳
2026-11-02 20:04:37
1
To see more videos from user @ismail.bwana, please go to the Tikwm
homepage.