Huyo mtoto ako mikindani hospital... she's stable now,thank God
2026-11-03 08:32:05
35
@Anapendaka :
shida si magari kubwa shida ni wacha kushindana give way it takes few seconds tu na you are good to go
2026-11-03 11:54:39
0
Khamisi001 :
That afande she once told me "mimi wa kwenu ndio ntakupeleka ndani leo" na hivyo nlimaliza siku yangu mikindani police station simply because my car had a minor scratch kwa side mirror 😂😂
2026-11-03 05:01:52
10
001 :
sisi kwanini governor wa mombasa amekataa kuweka hizi magari kubwa kubwa ziwe zinatembea tu usiku..mimi nikipishanaga nazo hapo bridge ata huwa sina amani kabisa
2026-11-03 05:34:42
4
bindoh✔️ :
nime skia sauti nika juwa ni jirani yangu huyo afande , respect to her
2026-11-03 04:21:47
12
fulizatufanane :
mwenye makosa naniii
2026-11-02 23:25:11
5
mushauri wa rais :
which country is this?
2026-11-03 07:17:00
1
bridgitmwania :
tuk tuk sitoke highway wapige round town town 🥺🥺🥺
2026-11-03 04:10:01
1
Mohamed Apalm :
hii matatu niya root gan
2026-11-03 04:14:30
2
Bad girl :
Big up Madam Sauda u did a great job we love u🥰
2026-11-03 06:44:03
3
Jamila Karemi :
location
2026-11-03 06:57:58
0
meisha :
JAMANI HIZO.GARI KUBWA HERI ZIWE NA BARABARA YAO JAMANI SEREKALI TUSAIDIENI TUTAMALIZWA NA HIZI GARI KUBWA
2026-11-03 07:53:31
2
angeljeddy :
ni wapi hapo?
2026-11-03 03:29:14
0
@YOUNG G DOLL 254❣️❣️ :
nilikua hapa live
2026-11-03 09:47:28
1
Hata Raffu Cheza :
Hiyo ni matatu imefunguliwa hivyo..??Waah....pole sana na ni wapi hapo pale after bangala karibu na ile petrol station ya mwisho ya wasomali?
2026-11-02 23:02:27
0
Wolf :
big up to that madam
2026-11-03 05:33:18
1
Mama hussein :
poleni san
2026-11-03 04:40:06
1
𝑴𝒚𝒓𝒂𝒉'𝒔 𝑺𝒕𝒖𝒅𝒊𝒐 :
watu wamekufa
2026-11-03 11:39:24
0
Daddy👑💫 :
poleni sana
2026-11-03 06:45:34
1
Nyagot23🥰 :
Matatu ya wapi?
2026-11-03 10:35:03
0
Nina.jane254 :
hawa madereva wana mbio sana sijui wanakimbilia nn .na ukimwambia punguza speed haskii
2026-11-03 12:15:24
0
musangopeter :
noma sana aki poleni
2026-11-03 12:04:06
0
fay :
pole sana
2026-11-03 12:03:01
0
miss hmz❤️❤️❤️ :
ooh my
2026-11-03 11:30:54
0
Fabish kirigha :
umfanye nn
2026-11-03 11:12:45
0
To see more videos from user @dream.chaser00181, please go to the Tikwm
homepage.