@ramsey.natural.he5: UNAAMKA ASUBUHI MWILI UMECHOKA, TUMBO LINAWAKA MOTO NA CHOO KINAKUWA KIGUMU? Nilikuwa napata hali hii mara kwa mara. Nikiamka asubuhi najisikia mchovu, sina nguvu, mgongo na kiuno vinauma, huku tumbo likiwaka moto, likijaa gesi na kupata choo kigumu. Nilikuwa nadhani ni uchovu wa kawaida, kumbe kuna makosa niliyokuwa nafanya kwenye mfumo wangu wa maisha na ulaji bila kujua. Kula muda usiofaa, kula vyakula vinavyochochea kiungulia, kulala muda mfupi baada ya kula na kutokunywa maji ya kutosha kunaweza kuchangia changamoto hizi. Nilikuja kuelewa kuwa afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ina mchango mkubwa katika hali ya mwili wangu. Je, na wewe unaamka asubuhi ukiwa umechoka, tumbo linawaka moto na choo ni kigumu?#AfyaYaTumbo #RamseyNaturalHealth #AcidReflux
Ramsey Natural health
Region: TZ
Monday 02 November 2026 20:56:31 GMT
Music
Download
Comments
jessica_mtui87 :
Naomba no yako
2026-11-04 12:00:15
1
semeni ally :
hii Ali na mimi inanitesa mno cna Ata raha naomba namba zake
2026-11-03 10:53:08
2
💞Baby_.Ruuh💞 :
hata mimi hiyo hali inanitesa sana
2026-11-03 11:57:27
2
Sophia Juma :
Hiyo hali kwangu ni kawa hadi natapika usiku
2026-11-04 16:41:10
0
Riziki Othman :
ndio hii Hali imekuwa inanitokea kila wakati
2026-11-03 07:48:40
2
Joel Ngomuo :
unapatikanaje kwana zako
2026-11-03 09:21:51
3
Maridhawa Taslima :
Hata mm nateseka
2026-11-03 14:17:02
1
pendo :
nipe no yako
2026-11-04 10:44:05
0
joy metto :
Hi utuambie
2026-11-02 22:15:16
2
To see more videos from user @ramsey.natural.he5, please go to the Tikwm
homepage.