@otu8880: #tanzaniatiktok

OTU
OTU
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 02 November 2026 20:58:13 GMT
69846
3747
112
548

Music

Download

Comments

maxmody380
Max Mody380 :
Very true
2026-11-03 09:36:29
0
mbonichabai98gmail.com
mboni ❤💌🙏 :
daa point
2026-11-03 08:56:52
0
richofficial95
~rich~🤑 :
unafanyaje kumtag tajili😂
2026-11-03 09:11:52
6
stinmillz
Stin millz :
Wazungu wana akili sana na wanajua mambo wa bongo ni wivu na chuki mtu ataki mwenzake hataki apate sana
2026-11-03 07:13:03
33
mamycollection0
mamy :
Mm wangu anaingiza had 400M lakin bado ananilipa 600,000 nina haki ya kukuibia 😂😂😂
2026-11-03 08:41:06
9
wakidab
BrWakid :
wengine tamaa bhnaa
2026-11-03 07:50:45
6
allvany16
allvany16💫💫 :
wew uwajui wabong yan ata sisi ndo 2we 2napokea pesa nyng kuliko bosi lazm 2ibe
2026-11-03 07:00:08
9
starongodfrey
高星 :
Huyu boss yupo sehemu gani, nitumie email yake nikajitolee kwake 😂😂😂😂😂😂 sitaki mshahara [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-03 07:11:27
2
officially.dg7
DG7 :
tarehe 3 leo bosi hajanipa mshahara kinacho fata ☠️
2026-11-03 09:15:59
1
msever4
Ms Eve🦋🌹 :
jmn huyu yuko wap nikafanye kaz kwake 😂😂😂
2026-11-03 08:37:20
2
_goodboy820
Goodboy😎😎 :
Very true
2026-11-03 08:24:43
0
mohammedhamad8946
mohammedhamad8946 :
boss gani anataka kutoa pesa ya nini
2026-11-03 06:48:32
1
raibu_jafari
𝗠𝗿 𝗺𝗲 𝗧𝘇 :
ni kweli kabisa niibe ili iweje na ikiwa pesa nalipwa vizuri lakin nikiona pesa unayo alaf mim hunion naiba tu
2026-11-03 08:24:29
3
bilioner35
Jessy Proches :
Nimefukuzwa jana ila nina mtaji wakutosha😁😁😁
2026-11-03 08:01:36
2
abdallahathumani85
watetesi :
Nilifanya kazi company moja miaka ya 2006 Ilitokea Italia walikuwa wanalipa Kwa masaa. akaja msimamizi wa kitanzania akawaambia,na kuwarubuni mshahara tulipata mwanzoni yaani tungelipwa miezi 6 njaa ilikuwa basii. Mshahara uliyofatia ilikuwa tsh 70,000/= kutoka 390,000/= 😂😂. hata hivyo tulichukua mshahara wa mwezi mmoja watu wlifunga mabaa😂😂
2026-11-03 07:39:10
2
rajabmakame7
closer look :
mkuu Mungu akubariki nimepata nafasi kuonana nawe pale mwanza nikajua una moyo wa pekee sana ....Mungu akupe maisha marefu.
2026-11-03 07:41:56
1
tadeiwilliam
Eng will🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
point imenyoka kweli.. ila sio kwa tanzania hii bos awezi kufanya ivo.
2026-11-03 07:53:23
1
brianna.kukufarm
Brianna kuku farm :
kweli bana mtu unamtengenezea milion 6 kwa mwezi anakulipa elfu50🥺
2026-11-03 07:26:27
1
marcoenock7
marcoenock :
nitaftieni huyu Bosi
2026-11-03 07:31:27
1
mtiifu69
MTIIFU JR :
sio wangu mie
2026-11-03 06:48:58
2
huncho.klt
huncho.klt :
Fact
2026-11-03 04:43:52
1
gee.og36
Gee og :
wakika
2026-11-03 09:38:34
0
rachel62533
rachel🇨🇩 :
niunganishe na uyu boss nifnye nae kaz nimempend anajua utu wa mtu
2026-11-03 09:35:40
0
akim.kalawe.del.p
Akim Kalawe del pirlo :
sio kwa wa indi wa Tanzania
2026-11-03 09:28:00
0
viatuvyawadada
Kilianah 🌚✨ :
Nataka kaz kwa uyo boss jmn
2026-11-03 09:29:45
0
To see more videos from user @otu8880, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About