@ebroebro2000: #fyp #Capcut

EBRO~EBROW TZ🇹🇿 🇿🇦🦺
EBRO~EBROW TZ🇹🇿 🇿🇦🦺
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 02 November 2026 21:12:18 GMT
5418
556
69
16

Music

Download

Comments

hussy928
hussy💙🦋 :
ila nini wake wa madereva wana raha sanaa Yani watu awajui 2😂😂😂
2026-11-22 19:23:42
3
missgina9
Chaupole G🥰 :
Wangu mpka sasa hajarudi ata kwenye simu simupati ata kula nashindwa😭
2026-11-21 17:46:44
2
songeamoja
MRS DEREVA 🥰♥️ :
kwa jinsi navyokupenda mume wangu we kaa hata miezi sita nitavumilia najua unatafuta ridhiki wanao tule
2026-11-22 19:07:28
3
mwanamisi002
Mwanamisi002 :
tulia malume aniwai bwanaa ni mda sanaa amekaa huko
2026-11-23 22:39:49
1
user1203255819344
shuu :
Me mwaya ata siondoki ata akae miezi sita atanikuta😊😊
2026-11-20 17:29:26
3
mama.b3445
🍭Bety🦋🔐 :
wangu amekaa miezi2 kaja hom kakaa siku 5 karudi tena mungu amlinde anatupambania familia yake🥰🥰🥰
2026-11-23 10:28:38
2
dinamanyambi
dina!manyambi :
mm alinimbia naend cong kikaz nililia ad bs akaghaili akaend mkoa mwingine wa kalib
2026-11-23 07:29:50
1
mama.mangowi
mam G 🥰💯 :
Aliniacha mjamzito wiki moja akarudi nina mtoto wa miezi 6 jmn yataka moyo😂😂
2026-11-21 08:35:02
2
queen.charz2
Mam Jayden :
mmmm m
2026-11-23 22:06:04
1
user5041461850747
linah :
unaondoka unaenda wapi wifii angu tulia kuwa mvumilivu
2026-11-22 15:16:58
1
lukia8828
lukia :
tuvumilie.jaman.
2026-11-21 19:24:18
2
____its_kiddy
____its_kiddy :
Watot wa VAN MO [Fire][Fire]
2026-11-19 00:27:50
3
hawashabani16
hawashabani909 :
hatutakii mema huyo
2026-11-20 19:54:00
1
angelbilindi400
Angel Bilindi :
nachoka mimi
2026-11-19 09:22:56
0
neematego2
neemaTego :
Moja Kwa Moja status😁😁
2026-11-17 14:09:03
0
managerladdy
0993166620manager :
wewe noma
2026-11-18 07:03:33
0
loveness.nanyaro
loveness nanyaro :
hahahah
2026-11-19 23:06:41
1
shudagumbo
shudagumbo💞 :
me ningeambiwa nenda
2026-11-18 07:43:14
0
rifaah45
Giant one🦒 :
Ye hata akae miez 6 mie nilizaliwa kwa ajili yake nampenda mno kivuruge wng nimuache nimuachie nan[Heartwarming]
2026-11-24 15:17:44
0
abduly.kidary
Abduly kidary :
hawaelewekagi
2026-11-03 14:04:56
0
cutty_swaum
@cutty_swaum :
jamn ni mimi tyuu. kwenye tkt yangu magali yanaongozana tyy nashindwa kuelewa 😂😂😂
2026-11-21 18:44:40
1
user5629744570150
user5629744570150 :
huyo dada atatuulia mpambanaji mwenzetu khaa[Laugh approved]kopa zenyewe zinashangaa mwendo wa mshale
2026-11-23 10:46:32
1
catherinemwijumbe
catherinemwijumbe :
mtu kaenda kukupambania wanawake bwana
2026-11-23 12:15:18
1
boss_lee_2
❤️ 👑Boss 🇰🇲 Lee✨️ 🇹🇿 :
Sasa si kweli😂 kwani wao ni walinzi atiiii..😁
2026-11-18 18:43:03
2
To see more videos from user @ebroebro2000, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About