@panellnew1: Chapunzi Mr pimbi aamua kumlipua alikiba Bila Kujari

singeli na muziki
singeli na muziki
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 02 November 2026 21:52:46 GMT
22916
1663
170
21

Music

Download

Comments

gabriel.nathan19
Gabriel Nathan :
Kasema kweli acheni ushabiki
2026-11-03 06:42:27
30
oritybashiru452
mgodo jr :
kiukwer alikiba alikuwaka msani mkubwa lakn kwasaiv madg wanaimba ata kwenye top 5 haingii mfano Kuna Simba,marioo,konde,rayvan,mbosso Khan anaingia wap apo
2026-11-03 07:55:51
13
directorkenny4
director Kenny tz :
Simba mwenyewe akimsikia mfalme anastuka
2026-11-03 06:07:22
5
abbah.tz.00
abbah.tz.00 :
Aka nako, alikiba ali fanya show marekani, Canada, aliimba na kina Fally ipupa kina R Kelly, ali tembeya sana tangu Zamani
2026-11-03 06:36:52
5
reponse0307
dieu me tz :
aya mfalme kafanya show wapi ila pimbi
2026-11-03 07:15:05
6
user36804466548862
jackson justine" :
lakini ni kweli kabisa[Pray]
2026-11-03 03:39:27
17
paulkavishe917
matrix :
hizi radio za mchongo ndo zinaharibu bongo fleva yetu
2026-11-03 05:39:47
3
lukaku60936
Lukaku :
huyu sio bure na yeye ni sister
2026-11-05 18:44:47
0
shamsukaria903
Shamsu Karia :
haka mond alikafila kalielewa show!!!
2026-11-03 20:16:33
0
user3493779738003
yammy :
ukweli mchungu
2026-11-03 07:24:11
7
ahmadcobalt_masanyika
ahmad cobalt_masanyika :
dada mwingine wa Taifa huyo
2026-11-03 17:19:30
0
truckfityusuf
Yusuf Mohammedh💪💪💪 :
hata zuchu hamfikii
2026-11-03 07:04:23
6
kehekvdifn8
Mirando :
Tim Kiba mume sikiya?
2026-11-04 08:58:35
2
vingimarcele
Vingi Marcele :
anasema ukweli hata huku congo diarci tunamujuwa diamond
2026-11-04 15:12:02
1
lackyoffiaciall69
رَمَضَان أَمَل :
@رَمَضَان أَمَل:Jaman naomba mkiona mtu anauza kitanda na godoro, tv,jiko la ges na kafriji kadogokadogo.. msinunue tafadhari ni mweny nyumba anauza vitu vyangu. Tuwe na umoja jaman
2026-11-04 08:25:33
4
aibuutaonawewe88
SAIDI KILOKO💪 :
yuko saii
2026-11-03 00:03:16
4
david.l673
David :
kweli kabisa pimb
2026-11-03 13:46:16
2
katundu.hassan
Katundu Hassan :
madada
2026-11-05 09:38:16
0
salum.haroub
Salum Haroub :
alikiba saivi kesha bwana mkubali tuu
2026-11-03 17:57:08
1
user2731435302421
samir :
Hahaaaaaaaa binadamu shida Sasa muziki ni Mali sio kuimba
2026-11-03 14:49:06
1
shebyboran
@shebyboran :
tusemee tukufuruu
2026-11-03 00:43:32
2
we_ar_united
ahmad_bin_aliy :
safi sana 🤣🤣☺️uko wapi nikupe zawad yako
2026-11-03 06:21:10
2
elizabethelanga6
elizabethelanga6 :
jibu swali kaka ana shoo
2026-11-03 07:27:04
1
marrykiba
marry kiba :
khaaaaa 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
2026-11-03 05:08:46
1
felixpacifique513
felixpacifique513 :
ukweli usemwe
2026-11-03 04:25:30
1
To see more videos from user @panellnew1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About