Mvua ya balaaaa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-06 16:41:20
7
🎀 𝑮𝒓𝒆𝒚𝒛𝒂𝒏𝒍𝒆𝒆 ✨🦢 :
soon tutapata lugha mpya kiswahili+korea(kiswarea) coz sio kwa misamiati mipya hiyo
2026-11-06 19:01:06
14
Vinny@Jr :
We mzungu emu skia.. sio mvua ya balaa
Ni mvua ya baraka 🥺😁
2026-11-06 20:31:07
18
Betty 💕💕🤟 :
Kwan si tulisema deni lenu tunawalipa jaman 🥹
2026-11-07 07:59:14
49
Reyri :
Bora hii remix nilikuwa naogopa kusema bariki wengine sasa kwangu inatosha lakini kama ni mvua ya balaaa basi baba bariki wengine sasa kwangu inatosha jmn 😂😂😂😂
2026-11-07 08:21:43
8
dorypetro760 :
m naskia balaa tuu[Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-07 22:18:52
1
Christabela 😜😘😍🎇🥰 :
sorry naomba tuwe marafiki
2026-11-05 22:01:42
5
eminent_claire :
Uyu inabidi afanye collabo na Zuchu😂😂
2026-11-06 08:33:18
20
shamila💞 :
Zuchu wa kuchovya😅🤣🤣 but Very nice😘🤗
2026-11-06 19:13:34
3
💜Nivaah💜🎀 :
kwahy na mm ntaijua kikorea 😂😂😂💜
2026-11-04 14:41:14
9
faah🦁🦁 :
mvua ya balaa🤣🤣🤣nahisi ni elnino hiyo
2026-11-06 17:31:12
7
arkali63 :
😂😂😂😂 t’as essayé quand même
2026-11-08 17:14:02
1
Mwayuma Nbayo :
2026-11-06 23:20:07
1
muenzi jideline :
🥰🥰🥰
2026-11-07 10:28:02
1
Thea✨🌠 :
Huyu ni weapon formed against zuchu 😂😂
2026-11-07 22:03:11
1
firdaus :
binti tutakufatilia
2026-11-07 13:44:17
1
doris mussa :
sisimbona hatuwahalibii nyimbo zenu??
2026-11-07 18:29:20
0
Joyce :
uyu mchina jamani anajitaidi🥰
2026-11-06 22:23:33
2
Asma❤️ :
mvua ya balaa
2026-11-06 15:07:40
4
rehemamalema108 :
nakupenda sana
2026-11-07 07:36:37
1
To see more videos from user @sillymusic_, please go to the Tikwm
homepage.