Mi mwenyewe nahisi🤔, Kuna mahali pametoboka muda unamwagika.
2026-11-03 11:53:24
31
Cpt Komba Jr :
Mwisho wa Dunia upo Karibu
2026-11-03 10:16:54
19
~ FREEDOM... :
Hata Hili jua kama sio Ni kali sana chunguzeni
2026-11-03 11:35:10
15
Mercy Mavumbo :
Huu mwaka nimewahi kuuona wallah
2026-11-03 12:14:00
7
Aila❤️❤️ :
me hata siamin 😂😂😂😂
2026-11-03 13:17:19
2
Bel :
hv ndo huwenda
2026-11-03 13:17:59
2
Kiss Poo :
2020=2026😁😁
2026-11-03 13:14:32
0
one voice 27 :
watu tuko bize sana na TikTok, Instagram, YouTube ndio maana tunaona siku zinaenda sana, ukitaka kujua mda hauendi, poteza simu Yako, au koswa bando wiki nzima
2026-11-03 14:09:31
1
🌹Nas Beiby☘️☘️🪷 :
Nyie mnazionaje maana mmi naona aziendi au ni matatizo nilio nayo😌😅
2026-11-03 09:20:08
8
Miyamoto Mshashi. :
Simba jike, viprecise
2026-11-03 11:36:03
3
Jackson & uzima :
hapo kuna mambo hayo ✌️
2026-11-03 13:38:14
0
Morani Tey :
Kaona mbali Ila watu wataisi Ana chekesha
2026-11-03 13:34:13
2
Leah Ngele :
YESU ANARUDI
2026-11-03 10:06:54
5
user12309909197321 :
😂😂😂😂 Kweli kabisa Mama yangu
2026-11-03 11:28:29
1
Ngosha :
mwezi wa 4 haukuwepo
2026-11-03 11:36:00
3
samlion :
tuliomaliza mshahara wa oktoba siku haziruki yaan😂😂😂😂 zimegañda😁
2026-11-03 11:24:01
4
AM Min market :
shida ni wale waloteambia Kuna elnino na haijaja
2026-11-03 10:32:53
5
@Official_Nessy♎️👑❤️ :
na jua aliko moja😂😂
2026-11-03 11:38:23
2
shamsa :
😂😂🤣
2026-11-03 09:08:41
2
Leocadia :
Kabisa 😂😂😂
2026-11-03 11:09:32
1
Vicky Mgaiwa :
uwache uende maan ni mwaka wa maumivu kwang 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-11-03 12:36:20
1
Coco interior design :
2026-11-03 09:13:10
2
esuvathmollel500 :
2026-11-03 10:29:04
1
To see more videos from user @nick_director, please go to the Tikwm
homepage.