@east.africa.tv3: #EATVSAA1 Tamko rasmi la mzee wa ubwabwa kutoka kwa wenye nyumba anasema, inakuwaje mpangaji una Tv inch 32 unatoboa ukuta, kwani kwenye stuli haikai? Ukuta utobolewe na mwenye inch 75 na kuendelea. #EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha