@khira_collection: Watu wenye vitambi acheni kujitetea hizi nguo zinawafaa vizuri sana na size kama zenu ndo huwa zinaisha haraka yani size kubwa embu wahi full 95,000 yaani kijuba 15,000 shirt 30,000 skirt 50,000 embu nambie tu rangi na size kitambi sio ugonjwa! #KhiraCollection #houseofappearance #trendingvideo #modestfashion #CapCut