@codebreaker853: Simba mfalme wa pori nani mkali hapo nipe maoni🙏🙏 #tanzaniaanimals #kinglions #bigsnake

codebreaker
codebreaker
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 05:36:14 GMT
49739
994
50
137

Music

Download

Comments

kadada499
kadada💞 :
Movie imenoga naomba part2 😂
2026-11-04 10:37:06
0
ivani.mpesa
Ivani Mpesa :
nimefulai mlivyo muuwa
2026-11-03 20:09:09
5
eliasmalale47
LEAH JOSEPH :
wanasimba tujuane tumepambana mpakatumeshinda nakisasijuu
2026-11-04 03:16:31
3
dullow.bway
Dullow bway :
dah kumbe Simba anapiga adi nyoka mm nilizan anabonda chura Tu
2026-11-04 10:52:34
1
modestino.tz
MODESTINO Maarifa 🌍 :
Mungu ni mwema 🙏
2026-11-04 04:55:06
2
nadiamayeka
user5165348073039 :
nawatu tungekua naumoja naupendano kama huu tisingekua Tuna toana roho
2026-11-03 23:15:21
2
emannueljohnpango
EMANNUEL-PANGO🇹🇿 :
dah simba acha aitwe simba🥰🥰
2026-11-03 22:51:49
2
anna.rose2540
Anna rose :
achana mnyama ayitwaye simb
2026-11-03 20:01:55
2
joshua.alpha3
Joshua Alpha :
simba nguvu moja
2026-11-03 18:56:47
3
anthonyjosephsomb
Papaa somboko :
chatu mkali porini wamuogopa
2026-11-04 06:27:29
1
srpdafa
SR P DAFA :
uyo nyoka hana wasaidia???🤣🤣
2026-11-03 14:22:35
2
japheth.william8
Japheth William :
duuu mpaka nimeogopa shetani
2026-11-03 18:43:52
2
user2320832572033
kulusumu :
nae nimama lazima aone uchungu
2026-11-04 05:45:15
1
karibu.sait
karibu sait :
simb nimewakubal san
2026-11-03 16:58:45
2
tinna.iddy
Tinna Iddy :
nyoka ni shetan wa ukweli maana hapatani na kiumbe yoyote
2026-11-03 18:08:29
2
yahya.mdimi
Yahya Mdimi :
Duuu, noma sanaaa✊✊✊✊✊
2026-11-03 09:04:26
1
user5601091416106
scholar001 :
kumbe wanyama nao wanakuwaga na kisasi ee😂😂😂
2026-11-04 02:17:44
1
barakamnzava
Baraka Mnzava :
hii game daaah ilikua kali sana
2026-11-03 18:30:08
1
kimale.haruna
Kimale Haruna :
Ila mtoto wa simba kauwawa na nyoka
2026-11-04 05:31:00
0
captain39527
CAPTAIN :
kamera man haogopi???
2026-11-04 10:20:37
0
machivo11
machivo11 :
huyu simba mmoja ndio mwenye mwanae nin mana ni noma
2026-11-04 10:23:49
0
user9205720515378
Dr.mcoomber :
Ndivyo ilivyokuwa Kwa Namungo😂😂
2026-11-04 11:07:16
0
lucykihalo
love caih! :
duuh hatar haikuwa rahis
2026-11-03 20:25:10
2
grace.hussein5
Grace Hussein :
kwer simba ndo mfalme wa pori
2026-11-04 06:05:37
0
vancrisatohny
VANCRIS ATOHNY :
yaan leo ndo nimejua kwanini simba hata tufungwe vipi bado tutabaki kuwa simba, siyo yanga tu akijichnaganya yeyote atalipia kam mwenzao leo. simba tujuane kwa like ☺️☺️☺️
2026-11-04 07:54:48
1
To see more videos from user @codebreaker853, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About