Dunia inamisingi yake kama wewe umepata kipato lazima utajiri wako utokane na wewe na watu pia wanao nufaika kupitia huwezo wako mkisema ajira ni mbaya sio sahii dactari pale ameajiriwa wewe tajiri unakwenda kuhudumiwa nae mfumo wa maisha umetengenezwa kutegemeana ila nivema mtu kua na njia zaidi ya mmoja kujipatia kipato maana swala utajiri sio la kila mtu
2026-11-03 11:15:41
0
Godfrey Lova. :
bei gani kitabu kaka na je unafanya delivery mikoani.
2026-11-03 14:52:55
1
It's Notti jr :
Asante kaka nilisubiria upost hakika hii kwangu ni kubwa sana aiseeeeeiiii,nimeokota now najiona tajiri hata kma Sina pesa😁
2026-11-03 18:19:38
0
William Ombeni :
si mmeona vile majina yanaumba..imagine Noti anafanya kazi Benki😁
2026-11-04 16:49:04
0
Sophie :
habari kaka Jina langu Sophia ko nzabari nitapakitabu
2026-11-03 06:32:05
1
Ummy Abuu💯 :
kitabu bei gani na kukutana na wewe kama hvi nalipia au utaratibu ukoje
2026-11-03 10:51:46
0
BABA AIKA ✍️ :
bei ganii mkuu
2026-11-03 07:42:46
0
𝐆𝐚𝐥𝐥𝐮𝐬 :
✌️
2026-11-03 08:12:06
0
To see more videos from user @mikachavala, please go to the Tikwm
homepage.