nina ushuhuda vaselime changanya na serum unang'aa pole pole vzr bila sugu ngoz tamu balaa
2026-11-03 11:12:10
2
winnie76 :
unaweza kuchangany na rose water??
2026-11-03 08:43:43
2
aminaabdallahally :
habari,nasumbuliwa na miguu kupasuka
2026-11-03 10:58:55
4
Cherry🍒❤️ :
je nikiweka na vaseline oil ile je
2026-11-03 11:28:10
1
mariamu Loko♥️ :
yesssss hujakoseaaaa🥰🥰🥰
2026-11-03 14:26:15
0
Be smart always :
Mimi kwapa
2026-11-03 15:16:27
0
lucy official%% :
ya weusi kwapan jamn nifanyaje
2026-11-03 12:19:46
0
Angel Cuttie :
usoni vipi
2026-11-03 17:11:26
1
Doricas :
Ninzur lakin sio uson jaman
2026-11-03 18:51:59
0
coletha 🇹🇿 :
je ile ya kopo la bluu pote ni nzuri au
2026-11-03 17:19:55
0
nkwaya :
ukisha scrub unakaa Kwa muda au unaiosha muda gan
2026-11-03 17:18:42
0
naya shaibu🖤 :
Dada me uso wangu wa mafuta nin chunus san nafanya je
2026-11-03 10:31:38
0
fetty💞 :
hiyo alovera inapatika wap nahitaj
2026-11-03 21:10:40
0
@Lulu_Tz ❤️ :
mimi natumia vaseline ya watoto napaka mwil mzima yan tena ya watt yananukia vizur
2026-11-03 15:09:52
0
user206157092045 :
Napataje a lover jelly
2026-11-03 11:55:22
0
Salome Chimu :
nina mafuta na chunusi usoni msaada
2026-11-03 13:53:39
0
diana Elias :
Mim natumia uson nilikuwa na uso wa mafuta nikaiharibu ngoz kwakutumia active nyingi lkn saiz nimeacha kila kitu natumiatu vaseline na cleanser ya simple ndioo naona kama naponapona
2026-11-04 06:05:23
1
Annsher :
2026-11-04 07:11:29
0
Annsher :
[Red heart][Red heart][Red heart]
2026-11-03 17:34:22
0
user9650656199073 :
unapaka na usoni?
2026-11-03 13:43:36
0
Gracious6@❤️ :
❤️❤️❤️
2026-11-03 08:03:45
0
To see more videos from user @kocha_wa_ngozi, please go to the Tikwm
homepage.