@tazary_tz: 😂😂😂😂😂 @Better phones Tz #fyp #tiktoktanzania🇹🇿 #foryou #kenyantiktok🇰🇪 #swahilitiktok

Tazary_tz
Tazary_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 07:15:37 GMT
299772
23685
502
291

Music

Download

Comments

dizayotz1
DIZAYO :
FREE DIZAYO MANA AYA MAKOFI MMMH🥺🥺
2026-11-03 09:53:34
219
hildamtui01
Hilda Mtui :
Sieezi kuishi bila gauni la Tazary na hayo mabao 😂😂😂😂😂
2026-11-03 07:30:47
174
ms.huu05
Ms.Huu💋 :
jamani natafuta mkoba wangu kumbe upo kwa mama seme 😊😆
2026-11-03 08:21:04
44
joemoneyy8
Joe moneyy8 :
😂😂kipindi hicho ukipitia haya unaeza sema wazazi sio wako
2026-11-03 08:59:06
30
veeofficial46
Am -Vicky 💞 :
mama mkono mwepes wa kupg mashaallah anao😂😂😂
2026-11-06 20:44:03
5
hanayahanaya1
hanaya hanaya :
nawapenda sana jamani mungu azidi kuwaweka pamoja
2026-11-03 07:21:11
35
aisha.suleiman395
Aisha Suleiman :
Nilijua leo shetan kageuka malaika kumbe makofi yako palepale dah[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-03 10:54:14
13
ms...bernada
Ms...B♤ernada :
haha
2026-11-09 11:25:06
1
oficiial.champeez
champion truck driver :
nilitaka nishangae Leo iwe kwa wema 🤣🤣🤣🤣
2026-11-03 11:06:57
13
mayqueen35970
Meesh The Karcha🎀 :
Dizaaa kama hujawa kiziwi safari hii hayo makofi😂😂😂🙌🙌🙌
2026-11-03 07:34:19
10
josephinejumaajumaa
Femme de la foi 🔥🔥🙌🙏 :
20/20
2026-11-04 13:35:27
4
jacklinevalonge
Jacqueline J :
nlitak nishangae uwaache salam maan mwanzo umeanz vizur nikashangaa
2026-11-05 08:45:53
6
ziddy931
ziddy :
uyuu mama angu kabisaa😄😄😄😄
2026-11-04 04:57:45
5
user850833043
Aisha :
hawa wtoto wawili huwa nawakubalig sana😂
2026-11-04 14:23:48
3
mary.augustino4
Mary ❤️❤️ :
nilijuaa wameponaa hayoo makofii kumbee[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-03 11:54:23
5
groly.charles8
cute zerhn💞💦 :
nilijua tuu
2026-11-05 09:30:44
2
user28052683665532
G-cee💝 :
Ila mapaja ya mama yananiach hoi😂😂
2026-11-07 10:25:26
3
anna.yohana.nyondo
Anna Yohana Nyondo :
ahaaaaaaa
2026-11-03 11:08:09
2
156190812876480264kihaka
R❣️E(kihaka💞) :
kasha tangaza biashara tayari apooh
2026-11-03 07:57:11
7
pagi1308
pagi :
apishan na shangaz yangu jmn mam seme
2026-11-03 07:20:30
5
skylercardia
Cardia1_store :
Nilijua tu siku haiwezi kuisha bila makofi 😂😂😂
2026-11-04 14:44:56
3
userqueen.mwana
mwana :
hahahahahaha inachekesha sana 😂😂😂😂
2026-11-04 03:40:08
2
elizabethjoseph813
Elizabeth Joseph :
Piga sanaaaa hao watt wavivu sanaaa🤣🤣🤣🤣
2026-11-06 19:55:32
2
its.beatrice83
It's Beatrice. :
kwa hivyo vibao nasubili siku tazary aigize mtoto alafu dizayo AAU seme aigize mzazi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-06 17:36:22
0
sospetro
sospert james :
ila mama
2026-11-04 07:38:29
1
To see more videos from user @tazary_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About