@ghostyady: #nbcpremierleague #simbasc #yangasc #simba #football

Bongo football
Bongo football
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 07:27:57 GMT
60651
5046
79
107

Music

Download

Comments

slyvestermanyang6
slyvestermanyang6 :
gemu ya simba na namungo ndo ilikuwa gemu ngumu kuliko zote alizo cheza simba za ligi kuu tanzania
2026-11-03 08:54:56
87
yambiashura
user6544829768737 :
yanga si mnaulizwa
2026-11-03 09:10:26
45
samirahstany
Samirah Stany :
nakupendaga ww kaka mana icho kicheko chako kinajua kuwakeraaaaaa wakina mwafulaaaaaaaa jmn raha sana
2026-11-03 08:57:20
27
user9812011928107
magdarena bwade :
🤣🤣🤣🤣 si ndoapo sasa
2026-11-03 08:20:33
16
suzymaiga
Mrs S❣️ :
yanga si mnaulizwa au hamsikii
2026-11-03 09:31:01
7
ephabamd2pc
ephama :
katika timu zote namungo ndyo timu bora imeifunga simba goal 2
2026-11-03 09:38:40
14
hamza.chakulinga
Hamza Chakulinga :
daaaaaaaa nikwel wangefany nin
2026-11-03 08:28:20
20
madgwede
wa bazo black six :
apo wanazungumzia timu pekee duniani ambayo haijawahi kufungwa wala sare msimu huu kama ulikuwa hujui😂😂
2026-11-03 09:44:14
10
mhapuoff3
msafi d :
2026-11-03 09:26:47
8
teejay_natural_glow
Teejay_stara😊 :
ila brown mjivuni sana [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-03 08:31:27
5
travis.leevan
Travis Leevan :
huyu jamaa akiww upande wako unaenjoy lakini asilimia upande wako unaweza mchukia nawaonea huruma Yanga [Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-03 09:53:23
1
bedahgeorge
bedah electrical solution@ :
haha brown utawauwa brother
2026-11-03 09:47:26
0
chillingsperson0
badeii chilling :
uyu jama anatuzingua yanga asee 😂😂
2026-11-03 10:57:10
1
user155765123992508
SKYLORD :
namungo ndo timu baada ya simba
2026-11-03 10:30:28
2
papa63939
papa :
Bora hata namungo wameonyesha uwezo na kupata Gori mpaka mbili [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-03 10:31:20
0
madmox438
MARTINEZ-$ :
namungo ni bora kuliko yanga
2026-11-03 10:40:06
1
user6160536108565
user6160536108565 :
🤣🤣🤣 kwa kweri
2026-11-03 08:38:46
7
sanlizy122
sanlizy122 :
Ila huyu
2026-11-03 09:10:35
4
beatrice.yohana4
Beatrice Yohana :
kabisa
2026-11-03 08:55:30
2
yambiashura
user6544829768737 :
2026-11-03 09:09:54
1
kutham656
kutham❤️ :
2026-11-03 10:47:46
0
mshorahomeornament
mshorahomeornamenttz✅️ :
Huyu jamaa anafurahisha akiwa team yako🤣
2026-11-03 11:02:13
0
tumba.salehe1
Tumba Salehe :
KWA KWELI AISEE
2026-11-03 10:53:41
0
chiefcity2
chief city :
ahaa
2026-11-03 10:56:32
0
user230775204
Henry :
sjui hawa wanaoulizwa wako wapi😂😂
2026-11-03 11:02:51
0
To see more videos from user @ghostyady, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About