@katango79comedian: UJINGA GANI HUU😅😅😅😅😅#arusha #tanzania🇹🇿 #viralvideo #viral #fyp @chima_store

katango comedian
katango comedian
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 07:31:27 GMT
12540
1019
46
66

Music

Download

Comments

timosaid3
silent person :
😂😂😂 saw ila ilo shirt badilisha
2026-11-03 20:26:26
0
topintown.tz
TOP in TOWN💪 :
mi napokea th1 unaisha th5[Tears of joy]
2026-11-03 18:01:25
0
user67115259794546
💃Ren👻😜 :
bro nimejisahau nikaweka status sasa nimefukunzwa kazi fanya mpango nipate kazi
2026-11-03 09:44:00
3
dalalirobert_arusha
dalalirobert_arusha :
😂😂😂 mshahara unapita kulee
2026-11-04 11:27:33
0
rajabhalima755
kuruthumu omary :
mm unaisha kabra sijapokea🤣
2026-11-03 07:37:35
1
user41804178799671
@Prof Maswago@🙏 :
seriouse unacho ongea khaa 😂
2026-11-03 16:59:30
0
user50469982112595
L.E. Rimoy❤️❤️ :
kabla hata hujapokea mshahara umeshaupangia bajeti wote umeisha🤣🤣
2026-11-03 09:17:39
1
user3445463819161
one love :
kitendo cha kutoa tu kwisha
2026-11-04 11:26:24
0
itsbahat_0909
its..bahat 0909 :
😂Me wang unaisha kabla hauijaingia
2026-11-04 05:20:12
0
naomy.nicholaus
naaommy🥰 :
poleni waajiriwa😂😂
2026-11-04 11:06:19
0
ms_matenge
Queen Matenge :
nimeumalizia wote kwenye nguo za mtoto na bado sijapata vyote😂
2026-11-03 08:07:50
1
haimamrema671
haima🌸 :
Dk10
2026-11-04 08:19:16
0
shaulem
Zahir's wife :
masaa ya nini tena! mbon unaisha kbla haujaingia[Big LOL][Big LOL]
2026-11-03 14:41:48
1
martindavidokendo
martin david okendo :
Ila waajiriwa 🤣🤣🤣🤣
2026-11-03 20:25:01
0
irenepau
pretty jewel🥰❤️💋🦋🔐 :
😂😂😂😂😂 Ila wewe kaka
2026-11-03 18:13:45
0
sweetg818
sweet g :
tuna nunua na nn akat hela imeisha 🤣🤣🤣 jaman
2026-11-03 17:40:25
0
darkmode1335
DARKMODE🐕🍀🌿 :
wa kwangu ukiingia tu nampigia mtu anikope tena maana unaisha hata sijanunua unga dah
2026-11-03 21:26:27
0
massawembacho2
MASSAWE MBACHO :
wakwanza kaka
2026-11-03 07:33:32
0
ibra.tz39
ibrah :
mm huwa nikisha pokea mshahara najiona kama namuona boss wangu kama mfanya kazi😂😁
2026-11-03 10:25:04
0
user6349783092509
laina😘 :
24 kama status 🤣🤣🤣
2026-11-03 11:24:31
0
ditone63
Ditone❣️🍫 :
jaman 😂😂
2026-11-05 06:03:53
0
ney575
user5001792034676 :
dakika 15 sina ata mimi mtu unalipwa ela ya kitasa
2026-11-03 10:27:09
0
user1951781304545
hawa lmyo :
😂😂😂yaaaaaaniii
2026-11-03 12:41:47
0
ntinanigwa
ntinanigwa :
mi ukitoka saa 11 jioni hauwezi kuona hata hiyo giza moja ya siku hiyohiyo
2026-11-03 13:38:03
0
admathayoram
tuky💕a :
wakwanza leo
2026-11-03 07:35:20
0
To see more videos from user @katango79comedian, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About