@uzalendo_na_mabadiliko: Katika hotuba yake ya mwanzo wa mwaka, iliyotolewa Januari 3, 2026, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA – Bara, John Heche, alitoa msimamo wa chama kuhusu suala la maridhiano nchini, akisisitiza kuwa maridhiano hayawezi kuwa na maana iwapo yatatumika kufunika ukweli, kukwepa uwajibikaji au kuondoa Taifa katika misingi ya haki. Alionya dhidi ya maridhiano yanayojengwa katika mazingira ya kupumbaza, kuhadaahaa na udanganyifu badala ya kushughulikia changamoto halisi zinazolikabili Taifa. Aidha, Heche alisisitiza kuwa CHADEMA haitakuwa tayari kusaliti misingi ya haki na maslahi ya Watanzania kwa kukubali maridhiano yasiyo na uhalisia. Kauli hiyo inaweka wazi msimamo wake kwamba maridhiano ya kweli yanapaswa kuongozwa na ukweli, haki na uwajibikaji, huku yakilenga kujenga msingi imara wa umoja na mustakabali wa Taifa. #UboraNaViwango #HakiNaUwajibikaji #UzalendoNaMabadiliko

uzalendo_na_mabadiliko
uzalendo_na_mabadiliko
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 08:25:36 GMT
9214
374
27
9

Music

Download

Comments

african_hotvideos
African..π :
:...I really hate Samia Regime out of control, MUNGU wa MBINGUNI anisamehe 🙏🙏
2026-11-03 14:22:23
5
said.idd67
Said Idd :
Safi sana mwamba ila wanakupiga vita lakini hawataweza
2026-11-03 12:22:52
4
josephathmbwilo5
Josephmodoks :
pamoja sana kiongozi ubalikiwe sanaaa wew ndio Moja yamasomi wachache tanzania ukweli haki uwajibikaji nimoja ya misingi inayoweza kuliunganisha taifa
2026-11-03 14:31:05
1
haki.daima
Haki daima :
huo ndo msimamo wetu misisiemu miuaji hatukai nayo meza moja
2026-11-03 11:41:27
1
kabuti.daniel
kabuti Daniel :
Ahsante sana kiongozi HECHE mungu azidi kukupa afya na nguvu ya kupigania HAKI
2026-11-03 19:58:08
0
p.charles83
inzagi kussa :
pamoja mkombozi wetu
2026-11-03 12:54:47
1
sarafina7450
Sarafina :
Asante Heche Mungu akulinde daima siku zote za maisha yako.
2026-11-03 16:34:33
0
andreantebwa
andreantebwa :
asante kamanda wetu,wewe nimtu muhimu sana kwenye taifa. hili,
2026-11-03 16:58:19
0
lutufyo0
Lutufyo :
Vita Kali ila ila tunawaombea tumechoka kuishi kama mazezeta wa nchi
2026-11-03 16:12:45
0
user7866967779163
Nyabange :
nakubali✌🏿✌🏿✌🏿
2026-11-03 16:33:44
0
king.david2702
King David :
mjomba kazi ipo
2026-11-03 14:34:09
0
idgtech
Isack daniely :
Mungu ibariki chadema
2026-11-03 17:13:45
0
nduna5911
nduna :
viva
2026-11-03 18:30:03
0
florinsebastian838
florin :
✌️✌️✌️
2026-11-03 18:17:09
0
mkenda6
Mkenda motor :
2026-11-03 17:43:34
0
alex073999
Alex :
2026-11-03 16:52:06
0
emmanueljaphety
ebay 001 boy. :
Tarehe 6/11/2026, Tufulike Mahakamani na tusikubali Lissu kufungwa kizembe namna hiyo.
2026-11-03 17:14:48
0
user5800904191173lucas
Lucas marco malimi :
mzee watahangaika sana kuwapaka matope ninyi ni mpango wa mungu
2026-11-03 12:56:45
1
charles.magori4
Charles Magori :
nawakumbusha arifariki chacha wangwe moto wakuotea mbali kajitokeza heche akiwa wakala wake enzi hizo hawawezi kufa wote nilikuwa natoa story fupi
2026-11-03 11:36:13
1
davex976
Davex :
Kwakweli wakurya na wasukuma inabidi tuwape nchi waiongoze, they are very strong and strategic
2026-11-03 12:23:02
0
michaelmagoma
The Chief :
Free Tundu Lissu, Free John Pambalu, Bring back Twaha Mwaipaya, Hamphrey Polepole, Deusdedith Soka, Mdude Nyagali, Ben Saanane, Chawala, Azory Gwanda, Justice to Dkt Emmanuel Nchimbi.... Katiba mpya ni sasa. RIP our beloved murdered on 29 Oct 2025, may your soul Rest in eternal peace. Lissu is not a traitor.
2026-11-03 18:15:11
0
user281454914521p
062501879 :
🥰🥰🥰🥰
2026-11-03 14:27:48
0
samson_599
Samson_599 :
✌️
2026-11-03 16:08:27
0
babuuamo
Amo19 :
💪💪💪🫡🫡🫡
2026-11-03 11:38:11
0
user3304557582579
Marco :
[Pray]
2026-11-03 11:21:28
0
To see more videos from user @uzalendo_na_mabadiliko, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About