@celinecleaningservices: ✨ GENERAL DEEP CLEANING (USAFI WA KINA) ✨ Je, jengo lako limekamilika kujengwa au kufanyiwa ukarabati? Au linahitaji usafi wa kiwango cha juu? Sisi pamoja na timu yetu tunatoa huduma za General Deep Cleaning (Usafi wa Kina) kwa ubora wa hali ya juu, tukitumia vifaa vya kisasa na wataalamu wenye uzoefu 🏢 TUNAHUDUMIA 🏠 Nyumba za makazi 🏢 Apartments 🏬 Ofisi 🏪 Fremu/Maduka ✅ HUDUMA ZETU ✔️ General Deep Cleaning baada ya ujenzi au ukarabati ✔️ General Deep Cleaning kwa majengo yanayoendelea kutumika ✔️ Usafi wa sofa na samani mbalimbali ✔️ Usafi wa madirisha na vioo ✔️ Fumigation (Udhibiti wa wadudu) 💰 MAKADIRIO YA GHARAMA 🏠 NYUMBA ZA CHINI • Chumba + Sebule + Jiko + Choo — Tsh 200,000 • Vyumba 2 + Sebule + Jiko + Choo — Tsh 350,000 • Vyumba 3 + Sebule + Jiko + Choo — Tsh 500,000 • Vyumba 4 + Sebule + Jiko + Choo — Tsh 650,000 🏪 FREMU/MADUKA • Chumba kimoja — Tsh 100,000 • Chumba kimoja chenye samani — Kuanzia Tsh 200,000 🏢 OFISI • Chumba kimoja chenye samani — Tsh 150,000 • Vyumba 2 vyenye samani — Tsh 200,000 – 300,000 • Vyumba 3 vyenye samani — Tsh 400,000 – 500,000 🏬 NYUMBA ZA GHOROFA • Floor 1 — Tsh 1,000,000 • Floor 2 — Tsh 2,000,000 • Floor 3 — Tsh 3,000,000 na kuendelea. 🛋️ USAFI WA SAMANI • Sofa la mtu 1 — Tsh 20,000 • Sofa la watu 2 — Tsh 40,000 • Sofa la watu 3 — Tsh 60,000 🪟 MADIRISHA NA VIOO • Dirisha kubwa — Tsh 20,000 • Madirisha madogo — BURE kwa wateja wa huduma ya Deep Cleaning. 🐜 FUMIGATION • Nyumba nzima — Tsh 150,000 • Ndani ya nyumba pekee — Tsh 70,000 • Nje ya nyumba pekee — Tsh 70,000 🌟 KWA NINI UTUCHAGUE? ✅ Timu ya wataalamu wenye uzoefu ✅ Kazi safi, ya haraka na yenye ubora wa hali ya juu ✅ Tunatumia vifaa vya kisasa na kemikali salama ✅ Tunazingatia muda na kuridhisha mteja ✅ Bei zetu ni rafiki na zenye ushindani 📞 WASILIANA NASI LEO 📱 0656 822 124

Celine cleaning services
Celine cleaning services
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 08:37:29 GMT
39939
347
39
33

Music

Download

Comments

erachristoupatista
Era :
ukuta wa kwangu rangi ya maji na ukimwaga maji kama ivyo inaondoka na rangi[Laughing][Laughing]
2026-11-03 16:23:34
3
bint.issa
Essence of Elegance 📍💰🦋❤️ :
Habar chumba seble choo na open kitchen ni kiasi gani ?
2026-11-03 16:06:57
0
aswilatuji
Madam Aswila Tuji :
Mhm hamna vaccum 😳kwahiyo nikitaka mje kwangi itabidi tuhamishe vitu kwa room ndio kazinifanyike 🥺😁
2026-11-03 20:28:22
2
shani.omary1
Shanellefido :
mnasema wateja hatuwapi kazi
2026-11-03 19:49:10
0
sylvia63887
baby girl :
mbeya mpo
2026-11-03 20:54:23
1
mugiraneza.sabrin
Mariam y.❤️ :
mnapatikana wapi
2026-11-03 17:54:48
0
johari.fashion
Johari fashion :
Mupo wapi
2026-11-03 21:03:32
1
rosemose55
Rahma rahma55 :
Hamna vacuum kwani? Kuchafua ukuta tu
2026-11-03 20:07:27
0
sylivestersongora2
Syliver Legend :
Sasa huo ukuta utarudi kwenye hali yake kweli?
2026-11-03 18:38:38
0
mbeya_homefreshcleaning
mbeya_homefreshcleaning :
Umesahau na buibui😂😂
2026-11-04 04:42:51
0
neema.nicolaus0
neema nicolaus :
naomba namba
2026-11-03 17:15:17
0
jassystories
Jasmine Pazuel :
Bei gani Vyumba viwili vya kulala, seble, jiko na vyoo viwili
2026-11-03 14:28:37
0
theodorastivin
💕mama henry ❤️ :
mpo wapi
2026-11-03 20:43:53
0
nyonathani240
nyonathani240 :
Na ukuta siutachafuka
2026-11-04 02:50:59
0
mis_issanjya
PENDO STORE :
Kwa ukuta wangu kufanya hvyo sitak kabisa tafuten njia nyingine
2026-11-04 00:52:38
0
mimikidoti
it's me again🎀 :
sawaa
2026-11-03 17:16:54
1
najydecuty
mom :
bei gani vyumba v3 dining na sitting room iko kwenye floor ya 3
2026-11-03 19:32:25
0
dinary.spare.parts
dinary spare parts :
sasa isipokuwa chafu wewe utafanya kazi gani jamani?tunaishi kwa kutegemeana usione kinyaaa,mi pia muuguzi kukiwa na mgonjwa ndo napata kazi
2026-11-04 02:53:16
1
user5474100372149
bela :
Hapo ni dirishan bado chini ya kitanda ujasema tena chumba cha watoto una Anza kuokota makaratas na mbegu za ubuyu 🤣🤣
2026-11-06 08:38:28
1
To see more videos from user @celinecleaningservices, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About