@officialnunny: Au huyu ni mjomba ake😂😂🙌#Nunniefamily🌸❤️✨ #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #videoviral #fyp

official Nunny
official Nunny
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 08:51:09 GMT
129604
9628
904
1464

Music

Download

Comments

aiem_kadada
habibty cutesy🦚🍂 :
😂😂😂mtoto ana miez mingap
2026-11-03 08:57:12
240
youdats..vee
Vyverrrr ✿♡ :
Wanauliza et me ndo babake mzazi😂😂💔
2026-11-03 09:36:06
426
ms_keyla2
Ms_keyla :
Huyu hayupo serious 😂😂😂😂😂😂Akirudi mbondee
2026-11-03 17:03:06
118
mulkaty75
Naah🌸phones&Accesories📱 :
Me nilimtuma akachukue cheti cha kuzaliwa akanipigia ananiuliza majina matatu ya mtoto🤣🤣🤣
2026-11-03 09:09:20
572
ma.ramsey2
Ma Ramsey!!🔥❤️‍🩹💅 :
Kaa na cm karibu mm wananichanganya🤣🤣🤣
2026-11-03 09:08:38
369
nishang.yihang
floritta Nishang🥰 :
Ungemwambia wew ni mjomba wakee😂😂😂 mzazi
2026-11-03 15:35:12
82
zaituni652
🦋Zay_humble🦋 :
Hapo kwenye babaake mzazi nimechekaa😂😂😂
2026-11-03 14:55:54
67
feimomo7
felister Christopher :
hahaha msinichekeshe ko ata ye haelew kam ndo baba wa mtoto 😂😂😂
2026-11-03 08:57:03
89
leticia.joseph70
Leticia joseph :
et wanauliza mi ndo babake mzazi😀😀jamani
2026-11-03 15:52:13
39
freedom59574
freedom 😍 :
kaka angu aliulizwa na rafiki yake huyu ndio mwanao akajibu ndio nilivoambiwa na mama ake
2026-11-04 08:28:31
46
bibdeo
Dee Ludo❤️ :
Mim baba yangu alishawah enda shule kwa mdog wangu anaambiwa ww ni mzaz wa nan anatak jina la utot mwalim akamwambia mbon hatun mwanafunz uyo ndo kumwon mtot ety mm ni baba wa yule pale😀😀😀😀
2026-11-03 13:09:06
97
love.william8
🦋lov£💫 :
Nimecheka et wanauliza mm ndiyo baba ake mzazi
2026-11-03 12:31:44
44
reyleen0330
Reymar 0330 :
kaa na simu karibu wanamchanganya😂😂😂😂
2026-11-04 05:12:46
35
denov110
mimi🥰❤️🫂💍 :
hiyo ya kuulizw mm baba ake mzazi nmechek sanaaaaa😁😁hana imani na mtoto
2026-11-03 13:04:26
12
odo.raphia
ODo Raphia 🦋🔐 :
Eti wanasema ivi mtoto ana miez mingap 😂
2026-11-04 20:56:05
5
nifferjr
niffer🦋 :
bwana kaa na sim karibu nachamganyikiwa😂
2026-11-03 16:17:48
9
user9840199045590
Anaya Mohamed :
Wanauliza Mimi ndo Baba Ake mzazi😅😅😅
2026-11-03 09:27:28
43
haps250
Haps🫦 :
Huyo ni mume wang nikimuagiza dukan utajutaaaa mpk njian anakuambia umuelekeze 🙌🙌
2026-11-03 08:56:14
70
yassinhatibu21
Yassin :
kwani mim ndio baba ake mzazi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-03 09:44:36
22
ms_lola3
ms_lola :
na Kuna kile kisa Cha baba ana watoto wawili mke kumwambia ampeleke mmoja hosptal anaumwa akamchukua mzima akamuacha mgonjwa nyumbani kufika daktari anamuuliza dogo unaumwa nn mtoto anajibu mi siumwi anaumwa kaka baba alisema tu panda kwenye gari twende[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] baba akabaki anashangaana na dk
2026-11-03 18:32:38
12
smash_creations_by_hannu
SMASH•CREATIONS• 𝒃𝒚• HANNU💕 :
Nimecheka😂 mm nd baba ake mzaz
2026-11-03 12:35:09
6
king.ally7
King Ally :
wanauliza mi ndio baba ake mzazi🤣🤣
2026-11-03 11:59:07
6
prettyaggy5
Prettyaggy5🤎 :
Hapo ulitaka tuone simu tu😁😁
2026-11-06 03:36:34
9
vee.jojo
vee jojo :
Huyo baba mtoto anasauti kama y ex wangu 😂😂😂
2026-11-03 13:25:33
23
To see more videos from user @officialnunny, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About