@almecky_tz: Jengo jingine limeanguka katika eneo la Shehia ya Malindi, Mji Mkongwe wa Zanzibar, huku kukiwa na hofu kwamba huenda kuna mtu aliyenaswa ndani ya jengo hilo, wakati vikosi vya uokoaji vikiendelea na zoezi la upekuaji kubaini uwepo wa watu. Akizungumza katika eneo la tukio, Mkuu wa Wilaya ya Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo, Dkt. Said Mrisho amesema jengo hilo lilikuwa tayari limeorodheshwa miongoni mwa majengo hatarishi, na wakazi wake walikuwa wameandikiwa barua za kutakiwa kuhama. Hatua hiyo inakuja wakati kukiwa na wasiwasi kuhusu usalama wa majengo ya zamani katika eneo la Mji Mkongwe ambayo baadhi yake yamekuwa yakitajwa kuwa katika hali hatarishi. #Zanzibar #Tanzania #Habari #Football #Trending
Zaidi ya miaka 20 Jussa aliwahi kusema ndani ya baraza la wakilishi, nakumbuka vizuri, alisema kuwa wananchi wananyimwa vibali vya kufanyia marekebisho nyumba zao za mji mkongwe. Sasa hii lawama watupiwe nani ?
2026-11-03 10:13:38
10
sule :
You have been warned long enough about the dangers…!!
2026-11-03 17:52:15
0
Ally :
serikali wanachukuwa pesa nyingi lkn hawafany ukarabati
2026-11-03 10:58:08
3
Juma Mussa :
Si wanaambiwa wahame zipate kufanyiwa ukarabati lkn mnasema serikali ni washenzi wanawaonea bure nyumba ni nzima.
2026-11-03 11:43:11
2
zanzibar ❤️zaman :
hiyo imebomoka au ndo 😳
2026-11-03 10:15:42
0
Idd Said :
wapi mtawapeleka
2026-11-03 12:39:08
0
Hip hop harakati :
Hameni jamani
2026-11-03 10:09:00
0
mamaiya_collection :
hata mvua bado
2026-11-03 13:41:14
0
riya :
poleni
2026-11-03 09:55:36
0
Ranny_cute❤️🥀 :
Uzima wa nyumba hizi niwatu mkihamisha watu zote zitaanguka
2026-11-03 13:44:30
0
Zey Abra :
walipwe kwani hixo nyumba zao. wenyeji hasa wa mji mkongwe wengi hawapo Dunian. na walobaki wengi wapo huko ngambo wanakokukataa walobaki wengi ni wageni. wa mji.
2026-11-03 14:46:24
0
wenaaa hasan :
hamujawalipa watahamaje
2026-11-03 11:06:06
0
ahsa :
mliambiw muhame ss ndo hali iyo htr
2026-11-03 12:17:25
0
Shams :
Majumba mabovu yote yaangushwe maana ni hatari kwa nyumba zengine na Maisha ya wananchi
2026-11-03 11:27:46
0
BIN MANSOUR :
wale Act mbona hawaonekani hapo kwenye majanga
2026-11-03 14:59:32
0
mayasasimai :
siwameambiwa wahame hawaa
2026-11-03 14:36:11
0
Cheydah :
Nyumba za mjimkongwe ata nipe we burrrreeee siikai🤣🤣
2026-11-03 10:36:10
0
rashboy_02 :
bwana ilo jumba lishafika cku yke tu🤣msilete mada sizo kuongea point hamjui😁
2026-11-03 14:38:54
0
ABDU BOY 666 :
mjini hakutakiwi tna MASKINI hameni
2026-11-03 10:25:26
0
salehjuma :
hawana sehemu ya kwenda wapemba
2026-11-03 16:25:03
0
To see more videos from user @almecky_tz, please go to the Tikwm
homepage.