haujanishawishi hata kidogo mm ni mwendo wa miezi 6 ndo anaanza kula
2026-11-07 06:21:24
6
Ummu Maher 🤱🏼 :
Nipo hapa mama wa Maisha ya kawaida sana lakn mwanangu kaanza kunywa uji miezi Saba kasoro na Alhamdulillah yupo vzr Tena bonge hasaaa
2026-11-07 05:45:43
6
Nettah_09 :
jmn jmn tusomee😂😂💔
2026-11-07 06:23:41
7
Raedher🎧 :
Nimegundua Elimu ni muhimu sana. Tusome jmn 😂
2026-11-07 06:53:46
2
ANGEL 😇 ALONE :
mi wangu ananyonya tu maziwa yangu ana miezi 4 na ana KG 8.8 anaafya tele unapotoshwa watu she wanasema hivo kwasababu mtoto tumbo lake alijaweza kuifadhi vyakula vigumu zaidi ya mama yake
2026-11-07 06:42:03
3
adelove583 :
mwanangu nilinyonyesha ru miezi sita na alikuwa na mwilii na afya nzuri kabisaaa hakuwa na shida na nilikuwa nakul kawaida tuu!
2026-11-07 03:59:49
3
mariam sembuche :
hata mimi sikubaliani na hicho mwanangu nampa mwaya
2026-11-07 07:11:41
1
ma v&D :
minitakubishia mbonawanakua vzur tu
2026-11-06 22:44:39
1
Mycute :
kweli kabisa
2026-11-06 09:41:04
2
M Kasiga :
cc tumefanya hivyo nawatoto wako vzr inawezekana jamii yako haili vyakula bora
2026-11-04 18:23:43
7
ABOU MUDRICK@ :
dk sule soma dini
hata uislamu wasema hivyo
anasema Ally bn abiy twalib yamtosha mtu kuingia ktk makosa kwa kumpa chakula mtt akiwa chin ya miez 6
2026-11-06 07:25:18
7
Mercedes maresa :
hubiri ya Mungu tu mengine yakupite
2026-11-07 06:58:42
0
Tracie home of decor 🌺🌺 :
Kuna mtu uko juu kasema jamn jamn tusome😁😁😁🤣
2026-11-07 07:28:01
0
Swo :
Ndo utuite Mabwege Shekhe
2026-11-07 04:56:37
0
ummy mayah :
Mm ht siwazingatiiii😂😂😂
2026-11-05 15:13:55
2
lamha💋💋💋 :
uhkika
2026-11-04 11:12:09
1
Teacher :
kwanza wazungu wengi wao watoto wao hawanyonyeshi
2026-11-03 10:44:28
0
mama suu :
eeee huyu nae vp
2026-11-07 06:36:31
0
BABA MII :
mimi wa kwangu miez miwili2 walianza kunywa uji
2026-11-07 06:52:40
0
Saraphina Mtunda :
Nakubali Sana
2026-11-07 06:48:40
0
阿塔利雅的父親 :
Umeamua ututukane na madactari sasa
2026-11-07 07:09:30
0
Ms_.msangi 28👸 :
mm wagu miez 2 tu uji wa muhogo alhamdulillah
2026-11-07 06:53:46
0
Ashiraf tz :
Fact
2026-11-07 07:03:13
0
ashbeby :
napenda mawaidha yake sema anamix na matusi hamna hekima
2026-11-04 10:00:01
0
To see more videos from user @docter.sure, please go to the Tikwm
homepage.