@millardayo_: Malalamiko ya muziki wenye sauti kubwa yamegeuka kuwa mauaji Nchini Marekani, baada ya mvulana mwenye umri wa miaka 10 kudaiwa kumpiga risasi na kumuua msichana wa miaka 16, Keinerlein Rangel katika Jiji la Albuquerque huko New Mexico Nchini Marekani. Kwa mujibu taarifa za Polisi, ugomvi ulianza baada ya mama wa mvulana huyo, Elaina Gomez-Villeda (40), kulalamika kuhusu muziki uliokuwa ukipigwa kwa sauti kubwa, mzozo huo uligeuka kuwa mapigano kati yake na mama wa marehemu. Polisi wanadai kuwa Gomez-Villeda alimwagiza mwanawe kuchukua bastola ndani ya Nyumba, ambapo mtoto huyo alirudi na kufyatua risasi iliyomuua Keinerlein, aliyekuwa akijaribu kuingilia ugomvi huo. Mama huyo amekamatwa na kushtakiwa kwa mauaji pamoja na makosa ya kuhatarisha usalama wa mtoto na kumruhusu kupata silaha kwa uzembe, mvulana huyo bado hajafunguliwa mashtaka, huku mamlaka zikichunguza hatua zinazofaa kwa kuzingatia umri wake.#MillardAyoUPDATES

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 09:21:35 GMT
108902
5811
653
840

Music

Download

Comments

riahm1237
Riam👑♐️🌵 :
Jirani yangu kani share hiii anamaana gani 😂😂😂
2026-11-03 09:41:25
348
ej_lalame
vee💦💦 :
ngoja nizime sasa mana jilani yangu jicho lake silielewi😂
2026-11-03 09:43:14
291
dullscoty
nazhaa :
yupo sahihi Ata Mimi sipendi kelele
2026-11-03 09:55:24
100
fredyblack12
Fredyy suprem :
:nawaombea wadada walioko period wapone mapema🙏
2026-11-03 10:44:30
38
roshy7078
ROSHY🦅🇹🇿✝️✝️ :
[Crying][Crying][Tears of joy][Tears of joy] mimi je
2026-11-03 12:06:16
0
l.....e16
my corazòn🤗⚡ :
atutaki usumbufu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]acha aimbe na kusifu kwa baba
2026-11-03 11:11:19
0
irecious32
IRECIOUS🦚 :
@mr omni tz
2026-11-03 10:52:43
0
b.gway
B Gway🙏🏽 :
mimi nikiwa nyumban kama nipo disco 😁😁
2026-11-03 10:03:29
28
isaaczephaniah301
isaaczephania :
yupo sahihi, kuna mtu huku saa kumi alfajiri asha washa mizik yake yakikabila mi nishamlipoti kwa balozi ila bado haelewi
2026-11-03 10:30:07
25
jaqshine1
jaQshine 💎🌸🌸 :
Namsubili Mr ommy tz[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-03 11:29:57
0
nabax16
NABRUYNE16 :
Mnaotupa foil za chips barabarani punguzeni pili pili mtaniuwa🤣🤣
2026-11-03 10:12:56
28
jelisher8
Jelisher💝💞💓 :
sifungulii tena redioo😂
2026-11-03 09:24:23
38
officiall_zamack.t
officiall_zamack_tz :
@officiall_zamack_tz: Lawyer wake nko apa ypo kituo gani [Laugh approved]
2026-11-03 10:05:11
1
marthadanieli
martha✅ :
Bado huyu wangu ananikwaza sana anawasha mziki mkubwa saa5 usiku utafikili mtoto
2026-11-03 10:06:18
6
dj_mbago
Dj_Mbago :
My Roley Model🔥🔥🔥
2026-11-03 09:26:12
1
janhety
janhety 🍭 :
duh me jiran angu akipiga mzik ndo na amkaa [Laugh approved] kuaz usaf
2026-11-03 09:25:19
8
raceratoefx
Tåtïåñå råtø🔱 :
daaah Kuna watu wanapenda kujiamlia mambo 🙌🙌🙌🙌
2026-11-03 10:04:46
5
nanshunaah
nanah🪷🌷 :
itakua majirani nao wanantamani sema tu wanavumilia
2026-11-03 09:38:52
7
ally_omary34
𝗔𝗹lison Himself🌱 :
Hii kesi hata me naitaka..!
2026-11-03 09:32:46
8
j0h_20._
j0H :
this will be me if my neighbour won't listen
2026-11-03 09:25:33
5
vitengeoriginal
VITENGE LUXE MOSHI :
😂ila tunakoelekea 🙌
2026-11-03 09:24:45
9
zuuh_khan45
✨️AIEM_🧸zuuh🤍 :
apo kuna mambo hay✌️
2026-11-03 09:34:53
5
mh.s484
M🌹H🌸 S🌻 :
Ndo vizuri mtu asubh2 na nyimbo za kisukuma
2026-11-03 12:34:11
3
0fficialgnana12
BABY GIRL :
😂😂😂😂
2026-11-03 10:14:55
1
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About