@donexpochannel: Msanii maarufu kutoka Kenya, Bien-Aimé Baraza, amefichua kisa cha kufurahisha kuhusu ushirikiano wake na staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, wakati wakiwa kwenye mchakato wa kushoot video ya wimbo wao unaoitwa "Katam". Bien alifichua kuwa alikuwa kwenye presha kubwa ya muda kwa sababu alitakiwa kusafiri kwa ndege ya saa kumi na moja alfajiri ili kuwahi kutumbuiza kwenye shoo nchini Kenya. Baada ya kumshirikisha Diamond kuhusu hofu ya kuchelewa na kukosa usafiri huo, bosi huyo wa WCB Wasafi alimtuliza na kumpa ahadi nzito. Diamond alimhakikishia kuwa, iwapo angeikosa ndege hiyo ya abiria, yeye mwenyewe angemkodishia ndege binafsi (private jet) ili kuhakikisha Bien hafeli mashabiki wake waliokuwa wakimsubiri Kenya. #donexpoupdates #bien #diamondplatnumz #privatejet #tanzaniantiktok🇹🇿

DON EXPO CHANNEL
DON EXPO CHANNEL
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 03 November 2026 09:27:29 GMT
112242
9715
53
204

Music

Download

Comments

sariimsariim563
Sariim Sariim👉 :
ukwel usemwe diamond pesa anayo💯
2026-11-03 18:51:20
284
user9129366609774
mwangijames :
kuna lanes
2026-11-03 19:36:39
4
fleexlamargmail.c
Smurk OTF 🤑🤑 :
chibu Dee is a real one
2026-11-03 12:45:09
173
muemanzomo1
Muema :
Simba ni Simba
2026-11-03 15:36:02
119
lee..blaq
Lee Blaq :
hii ni podcast ganii😅😅
2026-11-03 16:49:33
36
bernadokhamso
Khamso :
Diamond platnumz 🔥🔥🔥
2026-11-03 14:59:40
62
stizzo4
stizzo254 :
kwani tushawai kosa dooh[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-03 16:38:23
59
pentane52
pentane :
anaroho nzuri mashaallah
2026-11-03 18:17:44
49
boyzzzempire
BoyzzzEmpire :
i need the full video please naipata wapi
2026-11-04 05:24:27
10
albert.meela
ALBERT MEELA :
Umesikia mwijakuuu
2026-11-03 17:43:29
17
artmall_cakes0
Chef GEMs 🇰🇪 :
Bien ana jua ku_tambua_na ndio manake ana tambulikana
2026-11-16 09:44:28
2
omondaofficial
omonda official :
1, 150,000
2026-11-03 18:46:37
8
startiktok2541
Star 🌟254 :
simba 🔥🔥
2026-11-03 18:31:41
11
sharifah9422
sharifah :
kwake jambo dogo sana
2026-11-05 08:24:51
2
wanjikumugure
@Isha Brucha🫆 :
Simba ni 🐐
2026-11-04 17:02:42
5
gazelle5741
gazelle :
Simbaaaaaaaaaaa
2026-11-03 22:45:59
5
richardmussa12
Richard... :
2026-11-03 15:41:33
13
user3230383255782
TimAll4n :
8
2026-11-04 03:59:07
2
mtotowakabete
mtoto wa kabete king :
alikuwa anataka kukuonyesha yeye ni king wa tz na hajui ww ni king wetu🤣🤣🤣
2026-11-03 14:54:48
29
zakariangwatu
captain :
jet ni ngapi kukodisha
2026-11-03 15:45:29
9
003gigi
💜Eness :
mbona bieni kasema kwa hiyo sauti jamani😂😂😂
2026-11-03 22:14:33
5
joeltajirikipamba
Joel Kipamba :
Simba Ana Hela Si Utoto Private Jet Ungelipiwa
2026-11-03 15:28:20
19
darkroomexperience1
DarkRoom experience🌗 :
Kwani diamond anaongea ivo😂😂😂
2026-11-03 17:35:38
6
lenzo484
lenzo :
Tz huwezi vuka na chopper😁
2026-11-03 20:20:15
5
keyanorb
Norbert :
mulaz
2026-11-03 15:14:14
5
To see more videos from user @donexpochannel, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About