@nijuzenews: Jaji Mkuu Masaju: Tumekuwa na jamii ya watu wanaodai haki, wao wenyewe hawataki kuiishi hiyo haki Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Mcheche Masaju, ameyasema haya Novemba 2, 2026, aliposhiriki kwenye mahafali ya Shule ya Sekondari Lake, jijini Mwanza. Subscribe kwenye YouTube Channel yetu kwa habari motomoto>>> https://www.youtube.com/@NijuzeNews Subscribe kwenye WhatsApp Channel yetu>>>‎ https://whatsapp.com/channel/0029Vb6s4M91NCrctJX2YG2u Tembelea tovuti yetu kwa habari zenye uchambuzi wa kina>>> www.nijuze.com

Nijuze
Nijuze
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 03 November 2026 10:06:23 GMT
5490
106
7
4

Music

Download

Comments

moshilubega
moshilubega :
katiba Tanzania haiheshimiwi hasa na viongozi
2026-11-03 13:17:24
0
eddo790
Eddo :
Pale haki inapominywa au kukosekana kwa matamshi ya mdomo, unaweza kujaribu njia nyingine mbili: Kumwachia Mungu au kuidai kwa vitendo/actions
2026-11-03 11:13:50
0
dundukamadunduka
dunduka madunduka :
kesho kutwa tunaomba haki ikatise dunia
2026-11-03 10:51:14
0
moshilubega
moshilubega :
sio Tanzania
2026-11-03 13:16:18
0
jumannemasangwa
MUYEYE :
mbona kama unataka kukwepa wajibu wako
2026-11-03 12:23:41
0
ecoyz46
Samson2000. :
hahahahhahaa huyu ata sijamuelewa haki utaka itoke wap
2026-11-03 13:13:18
0
okubo.974027526187
okubo 9740275261871 :
🥰🥰🥰
2026-11-03 10:27:18
0
To see more videos from user @nijuzenews, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About