Ya Allah alo nidhulumu mm hela yngu nmekuachia wewe Kwsbabu aliniomba kwa uzuri na nlimpa kwa uzuri Ila kwa Sasa hataki kunilipa nkifkiria kazi ninayopata Ndo nipate pesa hiyo nalia😩😩😩😩
2026-11-05 17:41:02
12
user2420399879088 :
Ammeen
2026-11-05 20:53:18
0
user9782675474319 :
Amiin ya rabby Amiin
2026-11-06 13:00:54
1
🦋 Queen_ Baby 🦋 :
Amin Amin
2026-11-06 06:29:25
0
Mrs Jaffa :
nauliza swali
Kam wtu mukiwa wapenz Kuna pesa mulipatian kwa msharti kua mumkubalian kulipan jee?kama hio pesa hakupi nao inakua ni dhuluma ao????
2026-11-06 09:27:34
0
rehema :
Yarrab tujalie mwisho mwema
2026-11-06 03:30:37
1
Khairul_bariyya :
Ya Allah tupe nguvu na afya mpk mwisho wa khatima 🤲😭