@cawabemedia_: Shabiki wa klabu ya @simbasctanzania @mnandi459 afunguka na kuutaka ubingwa wa ligi sakata la @damaro25 kukana Urai. Full Interview iko Youtube ya @cawabemedia
Haya mambo yanaletwa na Yanga na nimeshawahi kusema hapo mwanzo kuwa haya mambo yanayofanywa na yanga ktk medani ya soka kuna siku yatakuja kusababisha taharuki sasa ona kilichofanywa na Damaro.
2026-11-04 04:23:14
1
Mtiga jr.....(Teamwork 💪🏼 :
yaani umeongea point ila kwakuwa simba na yanga ni timu za siasa na sio mpira
2026-11-03 12:44:05
8
mura :
simba walisema hayo mukawaona wanachuki
2026-11-03 19:45:57
5
Babuali :
yanga walimfosi awe mtanzania asaivi hawamtaki tena
2026-11-03 16:34:14
7
Conte de 26 :
Hile ilikuwa njia ya kusajiliwa asikose kucheza pale alipo sajiliwa
2026-11-03 19:25:31
2
Daudi Lunyalula :
hata hivyo tulilazimisha !!! simba wakalalamika lakini wakubwa wakikaa kimya tatixo shirikisho ,,Yanga wanasumbua sana
2026-11-03 19:15:45
3
Hamis haji :
araf kwel
2026-11-03 14:30:27
5
Saleh Hussein :
uwez jua lamda kanganganizwa
2026-11-03 15:33:14
1
Sadam Kassim :
yanga ndo wanamakosa
2026-11-03 16:45:01
1
user4710656237591 :
Hakuomba uraia bali alipewa uraia magumashi kwa ajili ya Yanga.
2026-11-04 04:03:53
0
John Mzimbabwe :
Labda kaona yanayoendelea nchini hayampendezi
2026-11-03 14:34:32
2
Alute Athumani :
kwani aliwaomba ?
2026-11-04 04:17:37
0
Jerome :
😂😂😂😂 tunautaka ubingwa
2026-11-03 14:15:33
2
Abuu Rashid :
duuu😊
2026-11-04 03:57:51
0
user3318133822832 :
kwelikabisa
2026-11-03 14:16:36
2
HI WILL :
ndo tujifunze
2026-11-03 14:58:40
0
Abuu Rashid :
duuu
2026-11-04 03:57:14
0
mura :
kafanya vizuli selekali nayanga wajifunze
2026-11-03 19:44:37
0
Gwapalwela :
Aibuuuuu sana kwa wote waliohusika. Ndo maana Yanga ni timu ya siasa.