@mwakagugu_jr: DJs HATUNA UADUI NA NYINYI, MSIINGIE MTEGO WA KUTUFANYA SISI ADUI ZENU. TUNATEGEMEANA 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 @UWALITA Sio adui wa Mdau yeyote wa kazi za Library bali ni Ndugu. #Mwakagugu #uwalita #library #movies #Umoja
kaka naomba unieleweshe utofauti kati ya UWALITA na UMOJA MOVIE na je kuna ulazima wa kuwa mwanachama wa UMOJA MOVIE!?🙏🙏🙏
2026-11-14 20:00:19
1
🎤 EMMA J MDAO | GOSPEL🎶🎥🗨️ :
Neno lako halitoki bule lana IPO kwenye njaa maombi yetu ni faida ya wote. 🤝
2026-11-23 07:40:11
2
saidi s kalole :
unajua nn kaka kuna wa2 wanakuchukulia powa sana lakin unacho kifanya nikikubwa sana 🔥🔥🔥🤲🤲🤲 mungu ata kulinda kaka
2026-11-03 13:21:35
5
Sir nabil :
lazim mtambue kua uwalita ipo kwaajili ya kuhakikisha watu wanafanikiwa kwa pamoja kama walivyopambana pamoja
2026-11-11 11:36:58
1
𝐊𝐞𝐯𝐨𝐨!!🦂 :
Upo Sawa kaka,ndio video zipo wakisema hayo kuhus kuuwa library zimekua nyingi
2026-11-07 14:58:32
1
user3266890627269 :
@user3266890627269:Umoja movie pia wanachanganya mambo. UKinunua movie kwao huruhusiwi kuuza kwa studio nyingine, kama una studio mbili, zote unatakiwa uzinunulie movie, na hapohapo pia ukinunua movie kwao hupati mdj wote. Umoja movie wataua ofisi za watu, na itasababisha madj wafe njaa kwa kukosa wateja maana wao ni wabinafsi. Wasisahau madj na watu wa library tunategemeana, tulifunga ofisi sisi na wao watafunga
2026-11-17 06:48:24
0
360 :
na vp kuhusu iyo lesen ya uzwaji wa movie
2026-11-17 11:52:08
0
callocellymbassa :
jamani hata sisi ambao tunamitaki midogo inaama hatuna haki vijana tunajitafuta hatakwa kidogo tulichonacho ila ku watu wnapambana kufungia riziki za wenzao hata kama anapata kidogo dhaaa aseee inaumiza sanaa afu unafanya kwa mwanaume mwenzio ambaye anapambana kwa ajir ya familia yake
2026-11-07 10:25:54
1
SHEBBYMOVIES TZ :
respect
2026-11-12 04:19:35
0
𝐊𝐞𝐯𝐨𝐨!!🦂 :
Umoja movies wao ndo wa kwanza kuharibu Soko, DJ's hawatoi movie na hawawajibishwi na movie hazitoki zote , kwa hali hio Umoja movie wapo kupokea pesa tu
2026-11-07 14:56:59
1
Dj Ndora :
dj sasa iv wanawatafuta watu wapige matangazo kwa bei ndogo
2026-11-03 15:20:58
3
360 :
kwanza wakusanye djs wote wawe wamoja pia na mtu unakua na library 2 bei ile ile watutazame kwan tuna vingi twapambania kuna lesen tra kuna,lesne iyo kun vingi ss tukae kwa umoj alfu tukubaliane kwa bei na na unapo kua,na ofisi zaid ya 1 pia watutazame
2026-11-17 11:51:32
0
mix ngali :
💪💪💪💪💪
2026-11-24 06:56:06
0
To see more videos from user @mwakagugu_jr, please go to the Tikwm
homepage.