Sunscreen is very important acha kulaghai watu mie nina ushuhuda hata ukameza kitu kani jua la africa bila sunscreen hutoboi unapata malesma.
2026-11-06 12:05:25
2
Liliesjunior :
Mungu akutunze kipenzi[Heartwarming]
2026-11-06 14:25:50
1
Ma Mkwe💕💕 :
Dada mi nawashwa sana na uso.
2026-11-04 03:56:36
1
Suu💕 :
Zanzibar una wakala?
2026-11-06 13:46:42
1
user37910065223673 :
na wale tusiokua na hamu Wala hatusikii utam wa tendo la ndoa,msaada
2026-11-04 11:30:50
2
Frida Mkwizu :
Mnatuchanganyaa banaaa huyu anasema hivi yule anasema vile sasa tumsikilize nani ama tufwate ya nani.
2026-11-03 17:52:22
5
user7334925313921 :
dada vitamin E kimeniramba jaman na nimemeza 20 tu
2026-11-03 11:48:31
3
MUMY -brother's (king's 👑) :
mhhh
2026-11-05 10:10:44
0
miluu :
nakukubali sis
2026-11-04 15:17:31
2
Cessie Regnassy... :
mbona mm vitamin e sivipat jmn....
2026-11-05 19:17:27
1
nicki katoto :
mjamzito anaweza kunywa izo vitamin E
2026-11-04 07:22:10
1
Naima Laula :
hizo vitamin e hazina shida kwa mjamzito??
2026-11-04 09:50:19
1
@mulhat 🦋 🇹🇿 :
kpenz nikupendae 🥰
2026-11-04 19:16:54
1
getrudetitos the boss :
Mm nakuwa mwekundu mashavuni nisaidie Niko arusha
2026-11-05 09:13:37
1
Queen Capricorn :
How much hio toner Dia alafu unauza hio vitamin E
2026-11-04 17:24:51
1
ma mkal🥰 :
Wakl dodom
2026-11-04 05:23:11
1
Ester Ihema :
ila wewe dada huwa unamoyo safi mungu akuweke
2026-11-04 14:31:24
1
grace💝💋 :
nipo morogoro napataje
2026-11-05 15:30:50
1
ms_sasha사샤_할파 :
wewe dada mungu akubariki wallah mungu umeniokoa🥰🥰
2026-11-04 19:18:41
1
tc.emmy :
Hiyo vitamin E tunapata Duka la dawa au?
2026-11-04 06:01:10
2
miluu :
mwaaah
2026-11-04 15:17:11
1
Dashuu :
nikweli kabisa asante dada mimi nilikuwaga naungua sana chini yamacho nikitembea juani ila toka nimeanza kutumia vitamini e hata nitoke juani uso wangu uko kawaida kabisa
2026-11-03 16:46:23
1
Miss Mkamsoji :
Nakupenda kipenz khadija niambie nitumie nn
2026-11-03 15:00:15
1
tc.emmy :
Unapatikana wapi?
2026-11-04 06:06:27
1
DA2 :
tona bei gani na sabuni bei gani
2026-11-03 13:21:30
1
To see more videos from user @belezaproducts1986, please go to the Tikwm
homepage.